Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Imefika wakati wa kuwatambua waendelezaji wa lugha ya kiswahili kimataifa. Nipo naangalia na mtoto cartoon ya Lion Guard channel ya Disney Junior, ni ya kiingereza wanajitahidi sana kuweka maneno ya kiswahili. Sasa sijajua wizara husika kama wanajua hili.