Namshukuru Mungu Sana sikuzaliwa na kuumbwa mzungu

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuqa

I hate this mentality and conceptshen. Yani nachukia kutoka moyoni wala sidanganyi. Sometimes ninauhakika huwa wanatania hawako serious.

Eti wanavyodai hawa ndiowanawake maarufu wenye mvuto uzuri, umbo la kuvutia na miguu ya kuvutia (sexy legs). Ni angelina jolie na amal clooney.

Namshukuru Mungu nilizaliwa muafrika. La sivyo leo ningependa wanawake kama hawa.

Bora tuwe na IQ za hovyo, maisha duni na uchawi kuliko akili zetu kuwa na mentality za kipuuz.

Yani miguu utadhan ya kware!

This is John!
article-0-0D95FE4900000578-181_468x789.jpg
961c18d1e54ad9b152660e8473e13052.jpg
 
Mzuqa

I hate this mentality and conceptshen. Yani nachukia kutoka moyoni wala sidanganyi. Sometimes ninauhakika huwa wanatania hawako serious.

Eti wanavyodai hawa ndiowanawake maarufu wenye mvuto uzuri, umbo la kuvutia na miguu ya kuvutia (sexy legs). Ni angelina jolie na amal clooney.

Namshukuru Mungu nilizaliwa muafrika. La sivyo leo ningependa wanawake kama hawa.

Bora tuwe na IQ za hovyo, maisha duni na uchawi kuliko akili zetu kuwa na mentality za kipuuz.

Yani miguu utadhan ya kware!

This is John!
View attachment 964526View attachment 964527
ebu weka mguu wetu guu la sanchoka ukiliona tu dushe linasimama.
 
Kwa sababu wengi wao wana miguu minene kwa hiyo hao ni adimu
Binadamu hatueleweki kwa kweli
Na sisi tukiona miguu imejaa ndio tunakubali
Yaani ni vurugu tu
 
Hahaha dada zako wamejichubua hadi macho lakini wapi ngozi nyeusi inarudi, siku hizi wanatamani bora wangekua albino, wakikusikia unaponda role model wao hata changu watakuchukia.
 
Indians remain the most beautiful women in the world.
Wazungu ni wazuri wakiwa under 20 baada ya hapo......
Indian wapi?Hispanic! Watoto wa Ki Puerto Rico nk

Southern America kama Brazil, Venezuela, Colombia hujaona wewe. Waindi hao kwanza hata na ubaguzi wao huwa hata siwatamani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom