TTCL mnawaibia wateja wenu Katika vifurushi vya data,

TTCL mnawaibia wateja wenu Katika vifurushi vya data,

Konkmaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
360
Reaction score
291
Ninao ushahidi TTCL ukijiunga 3GB Hapo unaambulia 2.4GB hili nalo kama sio uwizi ni nini? Kwa TCRA na FCC hamlioni hili ? Sio Mara ya kwanza TTCL wanalalamikiwa lakini TCRA na FCC mko kimya.
IMG_3176.JPG
 
Kesi ya nyani Unampelekea Kima...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom