Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 4,953
- 6,071
Wakuu kwema?
Niende moja kwa moja kwenye maada,
Zanzibar imekua ikipokea vitu vingi vilivyotumika (used) kutoka sehemu mbali mbali , used assets zinatoka Dubai, UK n.k ,
Mfano wa vitu used kuna simu, makochi, Tv, fridge, magari n.k,
Kwa wale waliobahatika kufika unguja wataungana nami katika hili kwamba wenzetu wanapokea used nyingi sana, nenda pale mchina mwisho/Mombasa/Mpendae utaona jinsi fridge zinavyoshushwa kwa wingi ,
Nenda kule mjini sokoni darajani utaona jinsi jioni kulivyojaa vitu used yaani unaweza kupata simu nzuri kwa elfu 15 tuu...
Eneo la kilomita za mraba za Dar es salaam zimediwa robo tuu na Unguja, je kuna eneo la kutosha la kutupa zile used ambazo hazitaweza kutumika tena?
Kwa uelewa wangu vitu ambavyo ni used si vyote huingia sokoni kwa mteja yaani kununuliwa na mteja, vipo vingine vinabaki, je kuna sehemu ya kufanya recycling? Je kuna viwanda vya kuchakata Chuma chakavu?
Niweke wazi sipingi vitu ambavyo ni used maana nami ni mnufaika wa used,niliwahi kumnunulia fridge kaka yangu mwaka jana mpk leo linapiga mzigo halina shida kabisa
Ila kuna athari baada ya miaka kwenda mbele, je baada ya miaka 25 wenzetu washajiuliza watakua na uchafu kiasi gani ambao hautotumika popote pale ?