Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taasisi hiyo ya Fedha ya Kimataifa imesema hayo baada ya kufanya upembuzi wa mwenendo wa taasisi hizo za fedha Benki 22 kati ya 45 ziko kwenye hatari ya kutindikiwa mtaji. Sababu zilizotajwa ni...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Mahakama Kuu kitengo cha Biashara imemuamuru Mfanyabiashara Yusuf Manji na Wenzake wanne kulipa fedha hizo kwa benki ya NBC kutokana na mkopo waliochukua katika matukio tofauti Katika kesi namba...
9 Reactions
152 Replies
29K Views
Ndugu Rais, Naiona kesho yetu iliyopangwa na Baba. Kesho ya heshima iliyopangwa na Baba. Kesho ya neema, kesho yetu ya ushindi liyopangwa na Mungu. Sitaki kuitazama leo yetu. Leo yetu ni ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi mtu wa sector binafsi anawezaje pata mkopo wa hata M 10?
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi. Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa...
2 Reactions
1 Replies
871 Views
Wadau habari za asubuhi! Naombeni ushauri kwa anaefahamu ni hivi passport yangu ina majina. manne niliomba kitambulisho cha Taifa kwa majina yote manne ila kilivyotoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kumekuwepo na dhana kuwa Wamarekani hawajawahi kabisa kutua kwenye mwezi. Watu wanaamini kwamba picha zinazoonyesha wanaanga wa Kimarekani wakiwa mwezini ni za kutengenezwa. Dhana hii pia iko...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zanguni ni baraka kubwa kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa mbali mbali na kuwafariji ni dhahiri Mwenyezi Mungu atakuongezea malipo katika hilo wanasiasa ni kipindi cha kwenda kuwapa moyo...
1 Reactions
4 Replies
788 Views
Kuna mtindo siku hizi naona sasa umekua mazoea, Siku za nyuma huko mnamo waka 2006 mtu alikua akiibiwa sim, mwizi hutoa laini na kuendelea na simu anako.kujua yeye. Umekuja wakati wa hapa njaa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hitimisha la siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Mtandao wa Polisi wanawake Kiteto kwa kushirikiana na dawati la jinsia na watoto, wazazi, wanafunzi na walimu wa Compassion limefanyika kwa...
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Simanjiro, Yefred Myenzi amesema, elimu iliyotolewa kwa wazazi na walenzi wa jamii ya kifugaji (Masai) imepunguza wanafunzi wa kike wanaorubuniwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ulimwengu mzima kuanzia dini ya uwongo,mifumo ya kisiasa yenye ufisadi,mifumo ya kibiashara yenye pupa yaani kupata hela ya haraka haraka yote iko chini ya ibilisi.kwa hiyo shetani na roho wake...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
FACTS CHACHE KUHUSU MAISHA. By Malisa GJ, 1. Watu wengi wanaojitapa kuwa wana fedha nyingi, ukweli ni kwamba hawana fedha. Wenye fedha huwa hawajitapi. Huwezi kumuona Bill Gates akijiita ‘don’...
8 Reactions
26 Replies
6K Views
IQ test for free IQ test IQ scale IQ score Emotional Intelligence test IQ chart Average IQ by Country Famous people IQ What is IQ? Home IQ test IQ test Advanced IQ test Notice: 1. This test...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello JF! Leo ningependa kushare nanyi na tutafakari pamoja juu ya utamaduni huu umaarufu wa jamii ya watu wa kaskazini mwa Tanzania hasa mkoa wa Kilimanjaro. Wakazi wa eneo hili Kila ufikapo...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Tazama ramani utaona Nchi nzuri yenye mito, na mabonde mengi ya nafaka.! Je wimbo huu ulitungwa na nani..? Mwaka gani? Na je mtunzi wa wimbo huu amepewa hadhi na heshima gani katika Taifa letu...
11 Reactions
91 Replies
30K Views
UKISIKIA aibu, fedheha na dhihaka subiri ufumaniwe! Usiombe tukio hilo likutokee, endelea kusikia stori kwa watu. Lakini maumivu zaidi ni pale utakapogundua kuwa kufumaniwa kwako ni mchezo...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu, Mwenye kujua hatua ambazo mtu inabidi azifuate zote ili anunue na kumiliki silaha binafsi (bastola) bila kuvunja sheria anijuze. Maana ulinzi ni muhimu.
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Watanzania tuna mambo ya hovyo sana. Yaani kila sherehe lazima huyu mnyama afe na usipoangusha mbuzi aliyenona unaonekana siyo. Ni lazima tule mbuzi kila part ? Mbuzi ana makosa gani au ndo kafara?
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hili jambo la wanafunzi wanaotaka kusoma elimu ya juu kunyimwa mkopo mimi silielewi kabisa. Mkopo wa pesa ni pesa ambazo mtu anakuazima kwa makubaliano ya kwamba utazirudisha kulingana na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…