Nusu ya Mabenki Tanzania hatihati kufilisika- IMF

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Taasisi hiyo ya Fedha ya Kimataifa imesema hayo baada ya kufanya upembuzi wa mwenendo wa taasisi hizo za fedha

Benki 22 kati ya 45 ziko kwenye hatari ya kutindikiwa mtaji.

Sababu zilizotajwa ni pamoja na kushuka kwa pato la taifa, kukuwa kwa viwango vya mikopo na kushuka thamani kwa shilingi ya Tanzania

Mwezi uliopita Benki Kuu ya Tanzania(BoT) iliyafunga maduka ya kubadilishia fedha za kigeni ya Jijini Arusha

Aidha, mwezi Januari mwaka huu BoT ilizifutia leseni Benki 5 kwa kutindikiwa mtaji

=====================

The International Monetary Fund (IMF) has said around half of the Tanzanian banks are at the risk of insolvency and lack resilience against market shocks.

The organisation announced the vulnerabilities after its executive board discussed the Financial System Stability Assessment (FSSA) of Tanzania.

IMF report on Tanzania banking system:
In the FSSA, IMF stated that solvency stress tests have found that 22 out of Tanzania’s 45 banks, representing 32% of banking assets, would become undercapitalised in the tail risk scenario.
IMF assessed the banks against a scenario of combined domestic and global shock.

It added that currently six banks in the African nation were undercapitalised at the end of last year against a regulatory threshold of 12%.

The report added: “The combined effects of sharply declining real GDP growth, rising interest rates, and depreciation of the T Sh (Tanzanian Shilling) reduce banks’ profitability and capital ratios, mostly through their impact on credit losses and net interest income.”

IMF advised Tanzania to address non-performing loans (NPLs) and increase capital buffers of the banks to increase their resilience. The NPL ratio has increased from 6.8% in 2014 to 11.5% in 2017.

Tanzania banking system:
The announcement comes at a time when Tanzania is implementing various measures to regulate the banking sector, reported Reuters.

Last month, Bank of Tanzania suspended five banks for one month from trading in the interbank foreign exchange market for violating regulatory rules.

In January, the central bank cancelled the licences of five banks for being ‘critically undercapitalised’.


Source; Nearly half of Tanzania's banks vulnerable to financial shocks - IMF | Reuters
 
Eti uchumi unapanda,ukweli huu->
“The combined effects of sharply declining real GDP growth, rising interest rates, and depreciation of the T Sh (Tanzanian Shilling) reduce banks’ profitability and capital ratios, mostly through their impact on credit losses and net interest income.”
 
Eti uchumi unapanda,ukweli huu->
“The combined effects of sharply declining real GDP growth, rising interest rates, and depreciation of the T Sh (Tanzanian Shilling) reduce banks’ profitability and capital ratios, mostly through their impact on credit losses and net interest income.”
Sometimes huwa nahisi huenda mzee baba anapima uchumi wa nchi kupitia maendeleo yake yeye binafsi, akiangalia rasilimali mali alizonazo yeye na familia yake anajifariji kua uchumi unapanda.
 
Hatari sana,ila inaonekana haya mabeberu yanatulisha matango pori.Tutembee kifua mbere tuko kwenye rait trak
 
Kuna ugonjwa umeingia nchini wa kuficha maradhi ili kumfurahisha mtu.
 
Jamani mbona hamtaki kuimba na kuabudu nyie?



HIzi namba tutazisoma wote hata kwa waimba mapambio
 
Sometimes huwa nahisi huenda mzee baba anapima uchumi wa nchi kupitia maendeleo yake yeye binafsi, akiangalia rasilimali mali alizonazo yeye na familia yake anajifariji kua uchumi unapanda

Kweli uchumi wa CHATTO ndio unapanda!!
 
Wewe gavana kasema uchumi unakua kwa asilimia 7 ......sasa mabank yanafirisikaje
 
Hahaha yafe tu, tutaanza kufungua account BOT chini ya uangalizi wa JWTZ, wale wapiga deal hakuna kufungua account BOT.
 
tatizo hayo ma benki sio ya wazalendooo! benki ya kizalendo (BOT) mbona ipo kwenye laiti tlaki! alafu hao wazungu wanajifanya wanajua kigereza eeeh! hawajui kua uchumi wetu unakua kwa kasi ya asilimia 7? sijui wanatumia takwiu za wapi hawa, inabidi waitwe watoe maelezo
 
Back
Top Bottom