Ee Mungu embu niambie hiyo 2016 hadi walipoamua kuunga mkono juhudi wameona nini cha tofauti?
*kwako wewe MODERATOR unayefutaga hizi tweets za hawa jamaa,Mungu akulaani ukifuta na hiii*
Maji ya kunywa ya uhai yana ladha mbaya chumvi isiyofaa kwa matumizi ya kunywa. Hivi wanachota baharini? TFDA na tbs toeni majibu kuhusu maji haya. Kunywa Chumvi nyingi kuna madhara kiafya.
A...
Kampuni mbili kutoka India na Kenya zimekwama kununua tani 130,000 za korosho nchini Tanzania kwa bei kati ya Sh3,800 na 3,500 kwa kila kilo.
Hayo yameelezwa katika ripoti ya kutathmini...
Kama kichwa kilivyo hapo juu,nina mwanangu wa miaka miwili ansendelea vizuri sana kiafya.
Ila nahitaji awe na toys mbalimbali sasa najua kuna wale waliowahi kuwa na watoto wadogo na wameshakua...
Habari wakuu.
Naishauri TFDA ipite kwenye Super Markets na maduka mbalimbali nchini na kukagua bidhaa zinazo liwa au kunyweka kama vile Biscuits, juices nk. Binafsi sinunuagi bidhaa kama hizo bila...
kuna adhabu nyingi katika maisha ya binadamu kutokana na matukio au makosa mbalimbali anayotenda. lakini adhabu ambayo unaweza ipata kwa kutokukosea katika karne hii ni kuwa na akili na kuzitumia...
Leo nimeenda Kwa mchungaji Mwaiposa pale Tanganyika peckers Kuna wizi mkubwa Sana watu wanaibiwa kiujanjaujanja tu.
Eti unalazimishwa kununua maji ambayo ameingia ubia na kambuni Fulani kisa...
AFARIKI DUNIA KWA KUZIDIWA UTAMU WA MAPENZI.
Kijana mmoja nchini Malawi Fletcher Jere (26) amefariki dunia kutokana na kuzidiwa utamu wakati akifanya ngono na kahaba mmoja mjini Blantyre. Gazeti...
Kwa muda mrefu nimekuwa nimetafakari kama gharama zangu za umeme ni sahihi au kuna 'leakage' sehemu. Naomba mwenye ufahamu anipe ufafanuzi.
Kwa sasa ninaishi peke yangu lakini pia nyumbani ndiyo...
Tafakuri ya leo, kwa wale wanaotusisitiza vijana tujiari ilihali wao wameajiriwa.
Naukumbuka huu msemo unaosema
"Kaajiriwa ili kuwafundisha watu kujiajiri"
Kwa yoyote aliyepanga au ana kawaida ya kwenda Kariakoo, Posta, Mnazi mmoja na maeneo yote ya kati kati ya jiji. Ni muhimu kutunza uchafu wowote kwenye mfuko wako...Yaani usitupe hata tiketi yako...
Maafisa wakuu wa Urusi na Marekani wamejibizana baada ya ndege mbili kubwa za kuangusha mabomu za Urusi kutua nchini Venezuela, taifa linalopatikana Amerika Kusini.
Ndege hizo mbili zina uwezo wa...
Nashukuru kidogo Mwenyezi Mungu kuwa katika pita pita zangu hapa na pale na katika baadhi ya nchi ( japo siku hizi sipendi Kusafiri kama Fulani Fulani ) niliweza kukutana na Wazungu ( ambao...
Wakuu salama..
Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya.
Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekubali kusali jumapili hii katika kanisa la Ufufuo na Uzima la mch Gwajima.
Baada ya shughuli ya kutiliana saini mkataba wa ujenzi wa bwawa la...
Mama wa mtoto huyo aitwaye Regina Hassan akiwa mkoani Morogoro aliliambia Uwazi hivi karibuni kuwa: “Mimi naishi Mzumbe Wilaya ya Mvomero, mwanangu alikuwa ana tatizo la upungufu wa damu mwilini...