Mwenye namba au mawasiliano na Ali Express

mgange hussein

Senior Member
Sep 10, 2012
159
43
Ninaomba mwenye mawasiliano au kunifahamisha ofisi za Ali Express hapa tanzaniaau Agent wa Ali Express wauzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao anifahamishe.Niliagiza bidhaa yangu inaonyesha imeishafika tanzania tatizo haijanifikia wiki sasa kwa hiyo nataka niwasiliane nao.Nitashukuru sana nikipata mawasiliano yao
 
Fuatilia ulupoaambia waitume...kama ni Posta nenda kawaulizie...wafanyakazi wengi wa Posta hawapo royal huenda mzigo upo wamepiga kimya au kwa vile umeweka namba wanashindwa kukupigia...au wasiliana na huyo muuzaji hua wanaweka email atakujibu kwa kuulizia kwa hiyo order No.
 
niliweka namba ya simu tu,na aliyenitumia wamesema niwasiliane na agent wa huku tatizo sijui agent namba zake au nitampataje.
 
niliweka namba ya simu tu,na aliyenitumia wamesema niwasiliane na agent wa huku tatizo sijui agent namba zake au nitampataje.
we sio mzima unapo register aliexpress wanataka anwani zote mpaka mtaa wako sasa kama unataka waagize mzigo ukapokee mwenyewe airport...????
HAUKO SIRIAZ
 
Back
Top Bottom