nowsasa
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,095
- 1,130
Ndugu zangu natumaini mko wazima wa afya njema. Yaani yanauomkuta mr Donald trump huku ktk nyuzi kama ingekuwa bongo nadhani watu wasiojulikana wangefanya kitu mbaya. Trump kabanwa sasa hivi, yuko hoiii. ..anaongea pumba na kujichanganya basi aibu tupu. Huu uhuru wa wananchi kumkosoa mkuu wa nchi bila woga ni mfano wa kuigwa. Land of the free, home of the brave. Nadhani trump anatamani angekuwa rais wa tz matatizo yote angeyatupilia kule! Asipo angalia anaweza akaondelewa na jela juu.