Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
Kwenye biblia kuna makatazo na maonyo mengi sana. Lakini hili ni katazo gumu sana kwa watu wengi. Katazo hilo kwenye kitabu cha Mathayo 5
"27 Mmesikia kwamba imenenwa, Usizini;
28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."
Kwa sheria hii watu wengi sana tunazini mara nyingi sana. Kwa upande wangu kwa siku nazini 20 na zaidi kwa kutamani tu! Najua kuna watu humu wanazidi hata mara mia28 lakini mimi nawaambia, Kila mtu atazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake."