Siku moja angejaribu hili kupima upepo

Siku moja angejaribu hili kupima upepo

Makosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
1,183
Reaction score
2,627
Kwenye hadithi za kale kuna Mfalme mmoja aliwatangazia Watu wake kuwa siku fulani ataandaa Tafrija kubwa kwenye kasri lake ila Asiyempenda asikanyage.

Kweli siku hiyo ikafika akajikuta yeye na Wapishi.(kumbuka alitangaza asiye mpenda asikanyage)

"Jiwe" na wewe jaribu Siku moja hiyo, itakusaidia Kujua ukweli.
 
Mwisho wa wiki kuna vituko vingi sana😁😁😁
 
Kwenye hadithi za kale kuna Mfalme mmoja aliwatangazia Watu wake kuwa siku fulani ataandaa Tafrija kubwa kwenye kasri lake ila Asiyempenda asikanyage.

Kweli siku hiyo ikafika akajikuta yeye na Wapishi.(kumbuka alitangaza asiye mpenda asikanyage)

"Jiwe" na wewe jaribu Siku moja hiyo, itakusaidia Kujua ukweli.


Halafu implication yake itakwenda kwenye uchaguzi
 
Kwenye hadithi za kale kuna Mfalme mmoja aliwatangazia Watu wake kuwa siku fulani ataandaa Tafrija kubwa kwenye kasri lake ila Asiyempenda asikanyage.

Kweli siku hiyo ikafika akajikuta yeye na Wapishi.(kumbuka alitangaza asiye mpenda asikanyage)

"Jiwe" na wewe jaribu Siku moja hiyo, itakusaidia Kujua ukweli.
Nadhan hata wapishi wakimaliza kupika wataondoka
 
Ha ha ha ha huyu hapa atakuepo eneo LA tukio kwaiyo usizani watu hawataenda
Na pia usisahau hoja na mdau hapo juu kua watanzania wa unafiki ni number one

Kumbuka mambo ya mange kimambi watu wanasema tuaandamana 26april walitokea ?
Hahaha mimi nitaenda kuangalia ni kinanani watahudhuria.
 
Ha ha ha ha huyu hapa atakuepo eneo LA tukio kwaiyo usizani watu hawataenda
Na pia usisahau hoja na mdau hapo juu kua watanzania wa unafiki ni number one

Kumbuka mambo ya mange kimambi watu wanasema tuaandamana 26april walitokea ?
Nisipoenda mimi mtajuje hawakuweka, nisipowaambia mimi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom