Hivi serekal inaingiza kias gani hii stend ya mawasiliano kwa Siku? Kwan garama ya kuchukua greda kuchonga hicho kibarabara haifiki hata 1 ml .sasa nimeamin kwa nn watanzania wanataka mabadiliko...
Habari zenu!
Hii barabara kwa wale wakazi wa Dar es salaam watakubaliana nami huwa ni kero misimu yote ya mwaka eidha kwa vumbi au tope.
Hatimaye serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais...
Hakuna kitu kinachoitwa hasira una mizuka yako ya kukata gogo maeneo haswa ya vyoo vya sehemu ya starehe au stand unaingia unapishana na mtu anatoka msalani kavaa vizuri kabisa unaingia tu hamadi...
Dar es Salaam. Mfanyabiashara Happy Mboya (38) amefariki dunia katika hospitali ya Mwananyamala na mwili wake kuzuiwa kutoka baada ya kugundulika kuwa na dawa za kulevya.
Happy alifariki dunia...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani
Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa...
Kupitia kituo cha habari cha itv,serikali kuanza kusambaza dawa kinga ya UKIMWI mkoani mbeya ili kuwezesha watu wasipate ugonjwa huo.
=====
SERIKALI imeanza majaribio ya dawa ya kuzuia Virusi...
MBOWE: A POLITICAL PRISONER OR POLITICAL CONMAN?
By Political Jurist
Let me say at the outset, Mbowe is not and cannot be a political prisoner, rather a remandee like many other wananchis but he...
ALIYEKUWA Meneja wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura), Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambaye kwa sasa ni marehemu, Mhandisi Godfrey Majuto, amehukumiwa kulipa faini ya Sh milioni...
Wadau, mimi na mume wangu tuna idea ya kuanzisha shelli ya kuuza asali. Tutachimbia matenki chini na kufunga pampu kama wafanyavyo wa shelli za mafuta.
Naomba mwongozo: tutahitaji kuiona mamlaka...
Baba Mtakatifu, Francis amelipandisha hadhi Jimbo Katoliki la Mbeya kuwa Jimbo Kuu Katoliki la Mbeya likiwa na Majimbo ya Iringa na Sumbawanga chini yake
Katika hatua hiyo pia amemteua Mhashamu...
Madini aina ya Graphite yanayotumika kutengenezea vipuri vya magari na yanayozalisha nishati ambayo pia inatumika kuendeshea magari badala ya kutumia mafuta, yamegundulika huko wilayani Handeni...
Wadau hawa wathesalonike bado wapo?i NNimesikiaametajwa huko Macedonia kuwa wamepinga nchi yao kujiunga na Ugiriki
Kwa mwenye kufahamu kuhusu hawa tafadhali tupe elimu.
Asanteni.
mjengo wenyewe uhusishe mambo yafuatayo ambayo yataoa picha ya gharama halisi au zinazokaribiana na halisi.
1• ukubwa wa kiwanja
2• jengo linaloonekana na lile lisilo onekana yaani underground...
Happy Birthday Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Kassimu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Ninakutakia miaka mingi zaidi, yenye kheri na mafanikio tele.
Mwenyezi Mungu aendelee kukupa...
Kuna jamaa wanatoka nje walitaka kusajili kampuni yao hapa ila leo wamefunga vilago na kwenda kwao mazima. Tunahitaji uchumi wa viwanda ila hamna anayefanya kazi kuleta uchumi huo. Sisi kuendelea...
Najua sote tuna mategemeo ya kuishi maisha bora, tunajituma ama kujitoa kwa kila namna, kwa nafasi zetu na viwango vyetu vya elimu na mafunzo ya aina mbali mbali.
Furaha yetu imezidi kutukimbia...
vvm said
Wanasheria hii imekaaje, leo nimeona Barua ikisema wasanii fulani wamefungiwa kufanya show ndani na nje ya nchi kwa siku zisizo julikana, na Hoja yangu ni kuwa BASATA ina mamlaka hapa...
habari zenu wakuu,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,kama kuna mdau yoyote humu anaelekea dodoma siku ya leo kwa usafiri wake binafsi naomba msaada wa kiungwana,nitamlipa nauli...hali ni tete...