Hii barabara ya kuingia stend mawasiliano ni kero

manSniper

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
814
Reaction score
683
Hivi serekal inaingiza kias gani hii stend ya mawasiliano kwa Siku? Kwan garama ya kuchukua greda kuchonga hicho kibarabara haifiki hata 1 ml .sasa nimeamin kwa nn watanzania wanataka mabadiliko aisee maana hichi kibarabara mpaka uingie kule stend ni mateso utarushwa rushwa mpaka utaishiwa ham utakula vumbi mpaka utapata mafua jaman oneni aibu mmeiba sana ..kwa hizi kero sizan kama 25 October watu watawasamehe
 
Ni aibu kubwa sana barabara ya kuingia stand ya mawasikiano haifanani na hadhi ya kituo vivyo hivyo kwa barabara za kuingia stand makumbusho yaani hazizidi hata kilomita mbili but ni vumbi,mashimo na karaha, stand ya ubungo na makumbusho zinaingiza kipato kikubwa sana kwa manispaa ya kinondoni
 
Pia njia ile ya kuingia stendi ya makumbusho inayotokea mwananyamala ni tatizo kubwa sana
 
Hivi serekal inaingiza kias gani hii stend ya mawasiliano kwa Siku? Kwan garama ya kuchukua greda kuchonga hicho kibarabara haifiki hata 1 ml .sasa nimeamin kwa nn watanzania wanataka mabadiliko aisee maana hichi kibarabara mpaka uingie kule stend ni mateso utarushwa rushwa mpaka utaishiwa ham utakula vumbi mpaka utapata mafua jaman oneni aibu mmeiba sana ..kwa hizi kero sizan kama 25 October watu watawasamehe
Mwaka wa tatu, huu ndio wanarekebisha
 
Back
Top Bottom