Ubovu wa barabara ya Majohe Ukonga

Ubovu wa barabara ya Majohe Ukonga

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
1,007
Reaction score
1,114
Leo nimekwenda sehemu ya majohe kata ya ukonga kupitia njia ya Kampala University, hakika sikuamini kama ile barabara ipo ndani ya DSM, barabara ni mbovu sana, na inasemekana haijafanyiwa marekebisho yoyote kwa kipindi kirefu sana, barabara hata madereva wa bodaboda wanalalamika.

Jambo la kushangaza kuna ujenzi wa kipande cha lami kinachojengwa kuzunguka Kampala University na kurudi gongo lamboto kupitia markazi.

NB: Mh: Makonda jaribu kufanya survey huko lazima kuna jambo utalibaini halipo sawa katika idara zako.
 
Kama wameanza kuweka lami basi wasubiri neema inaweza kuwadondokea.
 
Hahaha walisema tumchague Mwita Waitara ukonga iwe kama ulaya, haraka za nini?!
 
Wawadanganyie hata na marekebisho ya vifusi, maana ikipiga mvua ya kiasi tu mawasiliano yatakatika
Nimewahi kuitumia ni barabara mbovu sana ni vile tu ipo kwenye udongo wa mchanga ila ingekuwa kwenye udogo wa mfinyazi wangepata shida sana hasa nyakati hizi za mvua.
 
Leo nimekwenda sehemu ya majohe kata ya ukonga kupitia njia ya Kampala University, hakika sikuamini kama ile barabara ipo ndani ya DSM, barabara ni mbovu sana, na inasemekana haijafanyiwa marekebisho yoyote kwa kipindi kirefu sana, barabara hata madereva wa bodaboda wanalalamika.

Jambo la kushangaza kuna ujenzi wa kipande cha lami kinachojengwa kuzunguka Kampala University na kurudi gongo lamboto kupitia markazi.

NB: Mh: Makonda jaribu kufanya survey huko lazima kuna jambo utalibaini halipo sawa katika idara zako.
Hilo Jimbo la wakurya wamezidi ukabila ndio maana wanatengwa
 
Makonda mata.ko makubwa hawezi kuwasaidia kitu wasubiri Waitara yupo Ccm itajengwa
 
Back
Top Bottom