Ujenzi wa bee house kikale..Namaingu

Ujenzi wa bee house kikale..Namaingu

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Ujenzi wa bee house kikale, mradi wa nyuki wa wanachama wa Namaingo upo mbioni kukabidhiwa kwa wanachama.

Uwekezaji mkubwaa kuelekea Tanzania ya viwanda ekari zaidi 2800 za mikoko zaingia katika ufugaji nyuki kibiashara.

Wanufaika zaidi wananchi 4000 wa mjini na vijijini kupitia muamvuli wa namaingo wataenda kunufaika
 

Attachments

  • IMG-20181222-WA0158.jpg
    IMG-20181222-WA0158.jpg
    74.3 KB · Views: 22
Back
Top Bottom