Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Kama Wewe Ni Mtumiaji Wa Choo Cha Kukaa Na Huna Dharula yoyote Niamini Mimi Asilimia 98% wewe ni mchafu
Hotel [emoji544] kubwa zote Tanzania [emoji1241] hii asilimia 99% kuna Vyoo Vya kukaa,sababu zangu ni kama ifuatavyo
1/Haja haiishi kwa wakati
2/Kujiweka kwenye hatari ya kupata magonjwa (Bawasiri)