Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu Barack Obama ni kiongozi kwa asili
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hongereni kwa kazi wana JF wote. Leo nilikuwa nafuatilia Matangazo ya mpira Barclays Premier league kati ya Sunderland na West Brom kupitia Supersport channel. Kati ya vitu nilivyopendezwa navyo...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Ushauri wa sala, kwa wachagga (Wa-anjo, Waorombo, Wamachame, wakibong’oto, wakiwoso etc), na kwa majirani zao (upande wa Arusha na upande wa upareni), na kwa watanzania wote wanaoenda kijijini kwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ivi jaman huyu jamaa ni Mkenya au Mtz ,,kuna clip yake moja ivi amazing inaitwa kataa ccm tz ipone
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Napenda kupongeza shirika letu la ATCL kwa kuleta ndege mpya. Ila kwenye uniform za mabinti wameharibu. Hawana tofauri na wakata maji ya Dawasco
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu ambao ni wajasiriamali na wafanyabiashara hebu tufunguke kuhusu haya mambo imani yako ni ipi ktk kufanya biashara je inakusaidia ipasavyo? Imani yako ni ipi katika mafanikio? Yakwangu mtoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dunia hii ya mwenyezi MUNGU ina mafumbo mengi sana yaliyojificha hasa kwa wale ambao hawajapata kusikia lolote la zaidi ya haya ya kawaida tuliozoea kusikia na kuhubiriwa. Umepata kujiuliza wale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunasikitika sana kuwa Mhe mwenyekiti wa mtaa wetu wa siku nyingi hapa Songea Joseph Pius Mapunda ameaga dunia. Ameleta chachu kubwa ya maendeleo hapa mkoani Ruvuma. Mungu ailaze roho ya...
4 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu swali hili nimeulizwa na jamaa yangu nkaona nilifikishe kwenu wenye upeo mkubwa na mambo ya magari.ushauri wenu unahitajika sana maana jamaa anataka kuitimiza ndoto yake ya kumiliki gari
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Wakazi wa eneo la mwambao wa ziwa Nyasa Wilayani Ludewa Mkoa wa Njombe baada ya Kukaa bila mawasiliano ya Simu kwa miaka mingi tangu Kuumbwa kwa Dunia hatimaye wamepata matumaini baada ya Serikali...
1 Reactions
1 Replies
771 Views
Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu, Ezekiel Mutua amesema msanii huyo yuko huru kufanya matamasha nchini kwao Hatua hii ni baada ya msanii huyo pamoja na mwenzie Rayvany kufungiwa na Baraza la Sanaa...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Nianze kwa kutoa pongezi kwa Serikali kwa mradi mkubwa wa njia nane mpaka kumi na mbili. Pia natoa pole kwa familia zilizoathirika na bomoa bomoa. nafikiri matatizo mengi tuliyonayo yanatokea...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari za jioni wana jf. Niende kwenye mada. Ni hivi nafanya kazi ofisi ya serikali.Ni kijana kwenye late 20's. Ni Afisa flani niliyeajiriwa like 5 years ago.Nina kadegree. Ishu iliyofanya nilete...
14 Reactions
221 Replies
13K Views
Kila jambo huwa na chanzo chake Nianze kwa kusema katika ulimwengu Huu tunaoishi ni dhahiri masaibu ni mengi sana na hatujui ni wapi tutapata Msaada wa kuyatatua Leo hii watu wanahangaika kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau naelezea masikitiko yangu tu, nikiwa mkulima wa korosho, na mzazi. Muda unasonga, shule karibu zinafunguliwa January 7, na mvua zinanyesha. Sijawaandaa watoto wala shamba. Kwa ukweli...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nimejiuliza muda mrefu sana,hivi kwenye nyumba za kupanga nani anaishi na masai? maana sasa hivi wapo wengi sana mijini ila hawajulikani wanaishi wapi,ina maana wote wamejenga mjini?
4 Reactions
59 Replies
9K Views
Amani kwenu huu ni uzi maalumu wa kutakiana heri na kusameheana kama tulikwazana kwa sababu za mada zetu moto moto ulimtukana alikutukana basi ni kumuombea heri na kumsamehe hata ma mod's wetu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiukweli wanasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu... Kipindi cha nyuma nilikua mzee wa totoz kali sana kiasi kwamba wadau wakahisi natumia ndumba kuwapata...lakini cha ajabu kila nikila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna kiongozi wa chama kimoja (sikitaji kuepusha msuguano) amepita mitaani kwetu anahamasisha kwenda Uwanja wa Ndege hapa Dar kupokea Ndege Airbus na kasisitiza watu wasile Nyumbani kuna ubwabwa...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…