Nini kinasababisha mtumiaji wa bangi 'kupauka'?

be unique

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,374
2,273
Habari za weekend wakuu,natumaini mpo salama na mapumziko ya mwisho wa week.

Kikubwa leo nachopenda kufahamu kutoka kwenu na kwa uelewa ambao mnao kila mtu kwa nafasi yake ni kuhusu swala zima la bangi au mmea.

Nina swali kuu ambalo nikipata jibu lake litanifungua na kunipa uelewa zaidi juu ya hii kitu.

1. Kwanini mtumiaji wa bangi anapoteza taswira au muonekano wake ule ang'avu? Na je unaweza kutumia bangi bila kupoteza taswira au muoneako wako mzuri?
 
Ajabu sana wanaoizungumzia bangi hata hawaijui uzuri...

Watu wamepauka kwa kukosa lishe, malazi mabovu na ukosefu wa ajira halafu wausingizia mmea.

Habari za weekend wakuu,natumaini mpo salama na mapumziko ya mwisho wa week.

Kikubwa leo nachopenda kufahamu kutoka kwenu na kwa uelewa ambao mnao kila mtu kwa nafasi yake ni kuhusu swala zima la bangi au mmea.

Nina swali kuu ambalo nikipata jibu lake litanifungua na kunipa uelewa zaidi juu ya hii kitu.

1. Kwanini mtumiaji wa bangi anapoteza taswira au muonekano wake ule ang'avu? Na je unaweza kutumia bangi bila kupoteza taswira au muoneako wako mzuri?
Izi
 
Tatizo wewe unavuta dray..
Wenzio tunapiga na mixer tena ya sigara embasi au nyota
 
Me nafahamu madhara haya tu.
tapatalk_1545474350265.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom