Hongereni sana wachezaji wa simba

Hongereni sana wachezaji wa simba

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Kama wawakilishi wetu Kitaifa leo Kwa kweli mmetufurahisha sana. Mimi ni shabiki wa Yanga lakini mwenzako akifanya vizuri lazima unampongeza. Magoli yaliyotia fora sana ni lile la Mkude na hasa goli la Chama lile la kubetua. Bado nazidi kuwapongeza HONGERENI SANA SIMBA LUNYASI.
 
1545596277648.png
 
Acha ujinga unatujazia serva kwa kupost utoto

Back
Top Bottom