Serikali kuna kitu cha ziada inatakiwa kufanya ili miji yote nchini iwe katika mpangilio bora

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,681
Leo asubuhi nimezurula katika manispaa ya ILEMELA nimejionea kwa macho yangu viwanda vingi vinajengwa Na kwa kasi, japo sikujua vitakuwa vya kutengeneza nn.
Mlioko Nyamhongolo mtuambie with aerial photo please.
Pia MWANZA JIJI Na Ilemela municipal ukuaje wake ni wa kasi sana.Nadhani serikali kuna kitu cha ziada yatakiwa kufanya ili miji yote nchini iwe katika mpangilio bora.
Lakini pia kuna tatizo kwanini ARUSHA imesua sua kupanuka?
 
Naona awamu hii Arusha imetupwa kapuni kiaina.

Siku hizi kila kitu ni Mwanza na Dar.
Soon Dar nayo inaenda kususwa inakuwa ni Mwanza na Dodoma.

Mary Christmas anyway...
 
Mimi naona ungetengwa mkoa mmoja hasa ambao sio productive(namaanisha ambapo ardhi yake haisupport vzr kilimo na shughulu nyngne na ambapo watu hawawezi kuishi) ukawa mkoa special kwaajili ya viwanda labda na makazi machache ya workers wa hivyo viwanda na sio kwa wananchi wa kawaida, hapa sijaangalia fact ya availlability of raw materials maana viwanda vingi huanzishwa mahali ambapo pana raw materials, hapa nadhani serikali ingeweka policy ambayo itawaforce entrepreneurs ku incur cost of transportation(HII ITAONGEZA AJIRA KULIKO KIWANDA KIKAWA KINAPATA RAW MATERIALS PEMBENI YAKE) pia itoe favour kwa viwanda ambavyo vinategemea migodi ndio vianzishwe pembeni ya migodi tu.
FAIDA.
1. Itatengenza ajira(hapo kwenye transport watu wataajiriwa kama madereva n.k..)
2. Itatoa urahisi ktk upangiliaji wa miundombinu.
3. Itapunguza hasara kwa entrepreneurs(kwa mfn kiwanda kama kile cha bakhresa pale tazara kukatakiwa kujengwa labda stand au jengo la kiserikali kutatakiwa kubomolewe(hapa serikali inaweza ikamlipa au ikamletea ubabe) hivyo kusababisha hasara kwa mwekezaji hata ktk kutafuta sehemu nyingine na kuhamisha assets zake kwenda sehemu mpya.
4. Itaongeza makusanyo ya kodi(maana serikali itakuwa inajua wapi iende ili wapate kiwanda fulani kulinganisha na sasa viwanda vipo hadi chumbani kwa mtu).

4. Itapunguza kero kwa wananchi(kama vile kelele za mitambo, moshi nk...)

5. Itapunguza magonjwa(yatokanayo na kelel kama uziwi, magonjwa ya mfumo wa hewa kutokana na moshi, n.k...)

Yapo mengi tuuu sema serikali yetu ndio haihitaji ushauri daaah!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom