Mbunge wa Jimbo la Ulanga, mkoani Morogoro Godluck Mlinga (CCM) amewataka wananchi wa Jimbo hilo, kuwacharaza viboko au kuwapokonya funguo dereva wa gari la kubebea wagonjwa katika Halmashauri...
TAHARUKI MORO: Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo punde kufuatia kivuko kinachofanya safari katika mto Kilombero kupoteza mwelekeo, hadi muda huu abiria bado waokolewa kwa mitumbwi.
Habari ni kwa...
Siku za karibuni nilipata fursa ya kusafiri na msafara wa maiti kuelekea Ifakara kijiji cha Mngeta nikitokea Kilimanjaro hospitali ya KCMC.
Nilijionea uzuri na utajiri wa rasilimali mbalimbali...
Wilaya ya Kyela ipo mkoa wa Mbeya kusini kabisa mwa Tanzania,ndio wilaya inayopakana na Malawi. Kusini kabisa mwa hiyo wilaya kuna ziwa Nyasa,imezungukwa na mito mikubwa minne inayoijaza maji ziwa...
Mimi sina kawaida ya kutukana watu , lakini huwa najiuliza nini maana ya kuwa na wataalamu, viongozi na wanasiasa kama kila kitu kinakwama kinahitaji msimamo wa kiongozi mkuu?
Kuna kitu...
WANAJF'
Ukweli kila sehemu huwa kuna sifa zake ambazo huitambulisha sehemu hiyo kwa watu wengine wasioishi sehemu hiyo. Hapa tutaona mikoa yetu na zile sifa zake japo moja au mbili kwa kila mkoa...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
ILA
Mpaka jambo hili lifikie kwako, watendaji wako wote wamesafiri? Kwa nini wanakuachia ufanye haya mambo ambayo wanalipwa ili...
Katika sehemu ya hotuba yake, Rais Magufuli alisema kuwa, utaratibu wa zamani kabla ya mifuko kuunganishwa uendelee kutumika mpaka 2023.
Je, hii ina maana kwamba hata lile fao la kujitoa ni...
Habari wanajamvi,
Nina imani humu kuna watu wenye fani mbalimbali na wenye uzoefu wa mambo tofautitofauti. Naomba mawazo yenu wakuu.
Ninahitaji kuanza kaujenzi ifikapo mwakani, niandae kiasi...
Haha... "siwezi kulala nje tena". Kiswahili kigumu sana.
"Siwezi kulazwa makaburini wala kwenye vibaraza kwa namna yoyote kwa kuwa Iringa kuna wazee wa nguvu na viongozi wa dini wa nguvu na...
kama kichwa cha habari kinavyo someka :
Nyumba inauzwa ndogo imekamilika na Pagara ,zimezungushiwa wigo na ipo Barabarani.
Ipo mkoa wa Songwe wilaya ya Momba Halmashauri ya Tunduma kilometer 2.5...
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya chama katika jimbo la Peramiho linalongozwa na Mh Jenista John Muhagama amewaeleza wanachama na...
BADILIKA SASA....
KAA NA WANAOWAZA MAKUBWA UTAPIGA HATUA.
Ni siku chache tu zimebakia mwaka 2018 kutoweka milele mbele yetu. Na mwaka 2019 unabisha hodi kwa nguvu!
Kwa watu wengi kilichobadilika...
Hofu ya ongezeko la ulaji nyama duniani, imewafanya wanasayansi kuvumbua mfumo wa kutengeneza nyama ya kuku katika maabara kutokana na seli ya unyoya wa kuku.
Kampuni moja ya chakula mjini San...
Mambo mengine ni lazima apatikane Malikia Esther anaye weza kusimama kidete mbele ya mfalme hausuero kwa ujasiri,na kukubali kuwatetea Wayahudi wote kwa pamoja kama Taifa yaani "wafanyakazi"...
Naibu waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Elias kwandikwa amewahakikishia wananchi wa Njombe kuanza kwa ujenzi wa bara bara kuu ya Njombe, Ruvuma ili kuondokana na uchakavu wa bara bara hiyo...
NDOA KASHIRIKI KUIANDAA.MAJIRANI WAKAPIGA KELELE ASIOLEWE HUYO.ASIOLEWE HAFAI.BABA KAWEKA PINGAMIZI MWENYEWE.TUMSHANGILIE.BABA BABA BABA HUYU BABA YETU EHEE
Sent using Jamii Forums mobile app