Mambo mengine yana muhitaji shujaa kama Malikia Esther

Winner Magele

Member
Jan 9, 2013
86
49
Mambo mengine ni lazima apatikane Malikia Esther anaye weza kusimama kidete mbele ya mfalme hausuero kwa ujasiri,na kukubali kuwatetea Wayahudi wote kwa pamoja kama Taifa yaani "wafanyakazi"

Bila kujali itikadi ya vyama, rangi, dini au ukabila, dhidi ya sheria kandamizi ya kikokotoo iliyo tungwa na Hamani Mgagi na watu wake wachache ili kuwa angamiza Wayahudi,

Muda mwingine mfalme anaweza kusaini muswada wa sheria frani pasipo yeye mwenyewe kujua kilichomo ndani yake,huenda ni kwa kuwa amini washauri wake au la, na mwisho akija kushituka teyari unakuta wahanga walio lengwa kwenye sheria husika teyari wako kwenye hali mbaya, na kufanya mabadiriko ina hitajika neema ya Mungu,
na gharama kubwa yenye utashi wa kujali utu wa watu wengine walio lengwa kuonewa pasipo sababu yoyote ya msingi, kwa maslahi ya watu wachache,

Mungu ibariki Tanzania yetu,mbariki Rais wetu Muheshimiwa Doctar John Joseph Pombe Magufuri lakini pia mbariki dada Esther Amos Bulaya aliye thubutu kuwateketea wafanyakazi dhidi ya sheria kandamizi ya kikokotoo cha mafao, kama Malikia Esther alivyo watetea Wayahudi wasio kuwa na hatia ,maneno haya ni mtu tu aliye soma kitabu cha Esther kwenye Biblia ndio anaweza kuelewana nayo @pastorwinner @magelewinner_tz
IMG_20181228_202249_111.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom