Mtemikwila
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 1,389
- 1,066
BADILIKA SASA....
KAA NA WANAOWAZA MAKUBWA UTAPIGA HATUA.
Ni siku chache tu zimebakia mwaka 2018 kutoweka milele mbele yetu. Na mwaka 2019 unabisha hodi kwa nguvu!
Kwa watu wengi kilichobadilika wakati 2017 inaondoka na hii 2018 kuingia ilikuwa ni tarehe tu kubadilika. Maisha yao ya mwaka jana 2017 yamekuwa hayo hayo mwaka huu 2018. Hawajabadilika chochote si kitabia, kiroho, kuifahamu, kimahusiano wala kifedha. Na mwaka 2019 watakuwa hivyo hivyo! Wataendelea kubaki hivyo hasa kifedha.
Na hapa kwenye fedha ndo watu wengi wanapaangalia zaidi. Wanasahau kuwa ili badiliko la fedha litokee kuna vitu vingi inabidi vibadilike kwanza:
Mfano:
Mawazo, mtazamo na fikra
Tabia
Marafiki (ikiwezekana hata ndugu)
Ikiwezekana kwa wengine hata mazingira
Nk.
Na hayo mengine yote yanabebewa na hicho cha kwanza. Badiliko la mawazo mtazamo na fikra. Bila mtazamo wako kubadilika utaishi kwa shida mpaka uzeeni. Kila siku mtazamo wako ni eti:
~ Pesa hakuna
~ Sina mtaji
~ Sina support
~ Magufuli amebana
~ Sisi maskini
Sasa unadhani mtu mwenye mtazamo huo anaanzaje kufanikiwa?
Sikia rafiki kuwa na mtazamo huo ni sawa na kujipa DEATH SENTENCE! Umeshajihukumu kifo cha kifedha tayari. Fedha ina macho. Na haiwezi kamwe kumfuata mtu ambaye ana mtazamo HASI (negative attitude towards money)
Cha kufanya anza tu kuamini kuwa inawezekana wewe pia kufanikiwa. Huu ni ushauri muhimu na adimu sana. Ukifanya ninaloshauri utashangaa mambo yako yanaanza kubadilika vizuri na kukuonyesha mpenyo wa mafanikio. Anza kwa kuamini kuwa unaweza kufanikiwa kifedha siyo eti 2019 no kuanzia sasa hivi unavyosoma hapa. Usiaihirishe imani eti kuanzia tarehe 1 January ndo uanze kuwa mtu mpya. Huo ni mtazamo wa watu wasioelewa maana ya muda na maana ya RESOLUTIONS.
Amua sasa hivi. Maana mimi ninajua unaweza. Kuna wengine kama wewe wameshaanza kuamini na kufanyia kazi vitu kadhaa bila kusubiri tarehe zibadilike. Ukiamua Leo kuanza kubadili fikra zako nakwambia miezi 6 toka sasa utakuwa na mafanikio ambayo baadhi ya watu wako wa karibu watayafikia miaka mitano ijayo yaani 2022.
Mfano ukiamua Leo kuwa unataka kutengeneza pesa nzuri ndani ya miezi sita. Tuchukulie umeajiriwa mahali na unalipwa laki sita kwa sasa kama TAKE HOME baada ya makato. Ukiamua Leo kuanza tuseme biashara na ukawa serious na ukiamua usigeuke kushoto wala kulia then NAKUHAKIKISHIA miezi sita toka sasa utakuwa unaingiza mara tano ya mshahara wako! Yaani angalau Tsh milioni 3 kwa mwezi kupitia hiyo biashara.
Na ndo nasema wenzako mliokuwa mnalipwa wote laki sita wao itawachukua miaka 5 au hata 7 mbele ndipo mshahara ufike 3 milioni. Tena hapo ni kama kapanda cheo na amehama kampuni mbili ndani ya muda huo. Kama umeajiriwa zaidi ya miaka mitano na ulianza na mshahara wa laki sita na Leo ni miaka mitano mshahara haujafika hata milioni 3 ujue umeamua kufa maskini. Ukiamua Leo nakwambia kuwa in six months hutoamini unachokiona.
Hiyo ndo nguvu ya biashara.
Hiyo ndo nguvu ya maamuzi.
Hiyo ndo nguvu ya kujiamini.
Hiyo ndo nguvu ya uthubutu.
Ndo maana Sisi tuna program hizi za kufundisha watu mambo ya biashara.. Maana tumeona uthubutu ulikotufikisha na tumeona walioamua kuthubutu pia walikofika ndani ya miaka michache. Tatizo la watu wengi ni WAOGA.