Wanajeshi wanatesa watu Ulanga

Wanajeshi wanatesa watu Ulanga

Nini sababu ya operation?

swali la msingi sana mkuu,ila ni ulanga ipi,magharibi au mashariki cuz nilipata bahati ya kusoma huko kwa wapogoro miaka ya nyuma kidogo
 
kwakweli wakimaliza iyo opelesheni yao namimi nitaludi huko kwenda kuua tembo kwa fujo maana wao wameamua kuwadhalilisha raia bila sababu za msingi pambafu kabisa hii sirikali ya magamba. mkimaliza kuua watu watu je. mtatawara hao tembo? poleni ndugu zangu wa ulanga
 
Hii misukosuko bado ipo tu..! Toka 19 kweusi niko shule ya msingi hadi leo jamaa wanaendeleza huu utaratibu wakijinga na kupoteza kodi zetu wananchi bila sababu za msingi kabisa.

Wakati wote huwa hakuna mafanikio ya zoezi lao zaidi ya kuachia wananchi wasiokua na hatia yoyote majeraha na vilema vya maisha pamoja na kutafutia stress zisizokua na mpango.

Mwananchi kajipigia ndezi wake unamkamata kisa nyama ya ndezi.

Watoroshaji wakubwa wa nyara za serikali ni hao wawekezaji wazawa ambao sio waaminifu wanaopewa vitaru vya uwindaji kila mwaka wakishirikiana na wageni.
 
Hebu lete taarifa iliyo kamili wewe! Hao jwtz wako kwenye mazoezi ya operesheni defeat kagame au?
 
Story haina nyama zakujitosheleza mods toa hii kitu
 
Majangiri wenyewe wanaotafutwa wapo lumumba(kinana) wanakula raha,wanasumbua wananchi tu..,t*ko ccm na waandamizi wake
 
Inatisha sana, ila ni kama kila mahali, wanajiona Miungu mtu kabisa...
 
Back
Top Bottom