Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

Zao la cocoa Wilaya ya Kyela

Swet-R

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
5,659
Reaction score
8,216
Wilaya ya Kyela ipo mkoa wa Mbeya kusini kabisa mwa Tanzania,ndio wilaya inayopakana na Malawi. Kusini kabisa mwa hiyo wilaya kuna ziwa Nyasa,imezungukwa na mito mikubwa minne inayoijaza maji ziwa Nyasa,maji yake ni baridi sio maji chumvi. Ni wilaya iliyobarikiwa kwa kuwa na udongo wenye kustawisha karibia zao lolote linalolimwa Tanzania,iwe la biashara au chakula. Na bahati udongo wake unastawisha vyakula vyenye radha tamu tofauti na mahala pengine. Mfano mchele wa kyela ni mtamu kuliko mahala popote Tanzania. Samaki mtamu kuliko mahala popote Tanzania utamla kyela,samaki watokanao na maji baridi. Kunalimwa zao la mchikichi unaotoa mawese. Zao la cocoa linalolimwa kyela ndilo linatoa cocoa bora na tamu kuliko mahala popote Tanzania. Mbali na mpunga unatoa mchele bora hili zao la cocoa ndilo zao kuu la biashara wilaya kyela. Sasa kitu ninachotaka tukijadiri ni mabadiriko ya ununuzi wa hilo zao. Miaka ya 80 hili zao lilikuwa linanunuliwa na vyama vya ushirika. Kwa ujumla ununuzi wa vyama vya ushirika uliwadumaza sana wakulima wa hili zao. Ilikuwa mkulima akipeleka kuuza ilikuwa lazima akikopeshe chama cha ushirika,chama kinamlipa mkulima kwa muda kinaotaka,na kwa bei inayotaka. Wakulima wengi wakakata tamaa kuendelea na ukulima wa hili zao. Kipindi cha awamu ya 3 ikaja na sera soko hulia. Yakaja makampuni mengi kununua hili zao,kwa hiyo kukawa na ushindani wa bei. Hii ilileta mapinduzi makubwa kwa wakulima wa hili zao,bei ikapanda. Wakulima wakahamasika kulima kwa wingi tena hili zao,na haya makampuni yakawasaidia wakulima namna bora kuanzia kupanda,kutunza,kuvuna mpaka muda utakapouza. Hakika likawabadirisha sana kimaisha wakazi wa wilaya hii. Wengi wana hali nzuri sana kimaisha kupitia zao hili. Sasa hivi karibuni limerudishwa ile hali ya zamani,kwamba zao linunuliwe na chama cha ushirika tu. Hali imebadirika ghafla,bei hili zao imeanza kushuka sana kwa wakulima vijijini. Watu taratibu wana muelekeo wa kukata tamaa kuendelea kustawisha hili zao hali ikiendelea namna hii.
 
Wapo vizur kwa kwel
 
Wewe mtu ni fisadi wa kutupwa. Hayo makampuni binafsi yamekuwa yanawanyonya wananchi, kilo moja wananunua chini ya sh 2,000 lakini sasa kupitia vyama vyao wanauza kwa zaidi ya 4000. Watu hamna huruma bado mnataka kuwadhulumu kwa sababu mna uwezo wa kugonga keyboard. Kuweni na aibu, kama unataka COCOA kalime mwenyewe lakini sio kunyonya wananchi.
 
Swali moja tu kwako mkuu. Je serikali imerudi kufanya biashara ?! Hebu tusaidie

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Wewe mtu ni fisadi wa kutupwa. Hayo makampuni binafsi yamekuwa yanawanyonya wananchi, kilo moja wananunua chini ya sh 2,000 lakini sasa kupitia vyama vyao wanauza kwa zaidi ya 4000. Watu hamna huruma bado mnataka kuwadhulumu kwa sababu mna uwezo wa kugonga keyboard. Kuweni na aibu, kama unataka COCOA kalime mwenyewe lakini sio kunyonya wananchi.
Wewe puru kweli
 
Hujajua kilichopo nyuma yake rafikiangu,ikiwezekana tembelea hayo maeneo utajionea na kuwasikiliza wanavyolalamika wakulima wa kawaida mpaka wakubwa. Toka hiyo hali ianze mkulima mkubwa akipeleka cocoa kwenye hicho chama kwanza tu ataambiwa mifuko hamna,utasikia hatuna mahala pa kuhifadhi kwa sasa. Achilia mbali ile kukopwa. Na hapo ni mwanzo tu. Kinachofuatia baadae ni chama kujipangia bei,tena itakuwa bei chini ya 2000,ksbb mnunuzi ni mmoja tu,tofauti na ushindani uliokuwepo. Kama unavyojua mnunuzi akiwa mmoja,ni kila kitu kujipangia mwenyewe na ksbb mkulima hajui chochote ataanza kudanganywa soko la dunia limeshuka. pili mpaka sasa wakulima wadogo mpaka sasa kawaulize wanauzaje sasa na kabla ya hapo,kawaulize jinsi walivyokata tamaa
 
Hivo basi BIOLAND NA OLAM watafungasha virago make wamejenga mashule huko vyoo maji safi Ambulance duuh poleni wana kyela sema na nyie mumezid unafiki wallah watu wa kyela ni wanafiki kupitiliza
 
Hayo makampuni yote yanalazimishwa yatakuwa yananunua kwa chama cha ushirika tu sio kwa mkulima. Maana inayofuata hapo sasa ni ile ya zamani,chama cha ushirika ni kumkandamiza mkulima kwa bei inayotaka,baadae kuwakopa na kutowalipa kwa muda muafaka ama kutowalipa kabisa. Watu wa kyela wana unafiki gani mkuu?
 
Watu wa kyela ndo wamenifanya niishi maisha ya Tabu nnayoishi sasa.Ki ukweli vijana kyela hawapendi fanya kazi afu wanapenda maisha ya starehe na unafiki any way so mada kuu tuyaache tu
 
Kwa ujumla wao watu wa kyela walikufanyia uishi maisha ya tabu uishiyo? au mmoja kati yao?. Japo sijui walichokufanyia,lakini pole sana mkuu,ila mojawapo ya watu wakalimu sana Tanzania
 
Basi sawa mkuu msalimie KIPIJA

Sipo huko mkuu. Ila nilipita huko nilienda kusafisha akili kidogo matema beach,nimekuwepo huko kwa wiki moja ndio nikapata kubadirishana mawazo na wakazi wa huko. Wakati wa kurudi nikawa nasimama karibia vijiji vya njiani,ngyekye,mababu,mabunga na vingine vyenye wakulima wa cocoa,nikawa nabadirishana nao mawazo na kuwasikiliza
 
Matema kuna bonge la Beach umenikumbusha mbali mkuu
Sipo huko mkuu. Ila nilipita huko nilienda kusafisha akili kidogo matema beach,nimekuwepo huko kwa wiki moja ndio nikapata kubadirishana mawazo na wakazi wa huko. Wakati wa kurudi nikawa nasimama karibia vijiji vya njiani,ngyekye,mababu,mabunga na vingine vyenye wakulima wa cocoa,nikawa nabadirishana nao mawazo na kuwasikiliza
 
Kinachoendekea Kyela kuhusu zao hilo ni dhuluma.
Kiukweli ukiwasikiliza wale wakulima na wananunuzi wakubwa kwa wakulima ni kitu inakatisha tamaa sana. Inaumiza sana ukiwasikiliza wale wakulima. Wengine wanataka kuliondoa hilo zao shambani mwao wapande michikichi. Liliwaletea maendeleo sana lile zao,lakini maisha yao yanaenda kurudi nyuma kwa kasi. Si wao tu hata biashara zingine wilayani hapo zitaathirika,kwa sbb hilo zao ilileta mzunguko mkubwa wa pesa,liliajiri vijana wengi. Inaumiza
 
Back
Top Bottom