Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

A month before his scheduled departure after nearly two decades as Congo’s president, Joseph Kabila received a procession of foreign reporters at his heavily guarded riverside palace for a rare...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliaji sana na matukio mengi kupitia live stream pale viongozi mbalimbali wanapokuwa wanaongea na waandishi wa habari kupitia vyombo mbalimbali vya habari huku wengi wao wakiwa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nmemsikia jamaa anasema eti wanafanya hivyo Ili miradi yao ikamilike kwa wakati.
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Heri ya mwaka mpya nduguzanguni, natumai sote ni wazima na hatuna budi kupeleka shukran zetu kwa mungu alietuwezesha sisi kuweza kuuona mwaka mwengine kwani wapo wengine waliotaman kuufikiamwaka...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I wish you a merry christmas and a speedy revocery!
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Mkuu wa mkoa kuzuia watumishi kwenda likizo imekaaje hii wadau
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yapo mambo mengi ambayo watu hubadilika na kuacha lakini SIYO ROHO MBAYA! Tabia nzuri au mbaya chimbuko lake ni MATAMANIO (needs), Tabia za kimatamanio zote binadamu anaweza kuziacha lakini siyo...
22 Reactions
45 Replies
9K Views
Naamu, unaweza fikiri mengi sana kuhusu Botswana kabla hujafika. Moja ya mambo utakayojiuliza hasa ukiwa kijana uliyeishi vijijini na muda mwingine mjini ni haya:- 1: Watu wa Botswana, ni wapole...
27 Reactions
307 Replies
57K Views
KATIKA mwaka 2018, serikali imeacha alama kubwa na muhimu za kimaendeleo katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, bwawa la kuzalisha umeme wa Mto wa Rufiji pamoja na ujenzi unaoendelea wa reli ya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuufanya Mwaka Mpya wa 2019 kuwa mwaka wa kazi kwa kujishughulisha na shughuli mbalimbali kama vile kilimo, biashara, uvuvi na nyinginezo ili kujiletea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mzuqa Kila siku natafuna machenza kama 15 tangu zianze kuingia sokoni mwezi uliopita. Ni tunda tamu sana unakuta kama hayo machenza ni nayokula 15 utakuta moja au mawili yana mbegu ndani na...
10 Reactions
13 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba raia wengi ni waoga mno karibia kwenye kutenda kila kitu. • Madereva ni waoga (uzoefu wangu barabarani unaonyesha wengi wakimuona traffic police wanafunga breki hata kama hawana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mtu huyu ambaye amekuwa kijana wa kupigiwa mfano atarejea tena chuoni kuendelea na masomo yake ---- ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, hatimaye amesema...
7 Reactions
118 Replies
16K Views
Kila mtu ana Uhuru wa kutoa mawazo yake kwa kukubaliana au kutaa hoja inayotolewa na upande wa pili.Muda si mrefu nilikuwa mitaani/kijiwe cha watu wenye kaliba na rika tofauti. Wengine...
0 Reactions
1 Replies
834 Views
Baa tano zafungiwa Wilaya ya Mjini na Magharibi B Unguja January 3, 2019 Mahakama ya Vileo Zanzibar imezifungia jumla ya baa tano kwa wilaya ya mjini na Magharibi B na kuzipa vibali baa 33...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
The typical symptoms of over masturbation includes chronic fatigue, weak erection, thinning hair, and much more. Most of us get headaches from time to time. They can result from injury, stress...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu Isaac Zumba wa Ngarenaro, Arusha, anatangaza kifo cha Mke wake, Amabilis zumba ambaye ni mdogo wake na Mama Regina Lowassa Kifo hicho kimetokea jana katika hospitali ya Taifa Muhimbili...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Swali langu kwa wenye kufahamu kuhusu sheria,taratibu au kanuni zinazotumika kubandika Gundi zinazoakisi mwanga (reflector stickers) kwenye magari ya kubebea abiria au magari ya mazigo upande wa...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuzindua mashine tano za mionzi (X-ray) za kidigitali katika Hospitali za Rufaa za mikoa mitatu na mbili za wilaya. Uzinduzi huo unatarajiwa kufanyika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…