Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wadau nataka kuwaojesha chapter Tatu za kitabu changu ambacho kitakoka kwenye Robo ya tatu ya mwaka huu Chapter One God's failure Human worship God, The faith in God make believers vulnerable...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
New African Or New Fabrication?; An Open Letter to the New African Magazine Dear editor, as a concerned East African, I have read and understood the article named “Two Sides to the Magufuli Coin"...
1 Reactions
2 Replies
948 Views
Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa. Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa, Vipi nawezaje pata...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Wale jamaa matapeli wanaotuma sms kwenye simu zetu zisomekazo "Ile pesa itume kwenye namba hii" wamerudi kwa kishindo sana, mara baada ya kutangaziwa kuwa walikuwa wamekamatwa hali sasa...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
Baada ya mfumo was maji ya chupa kuingia nchini miaka so mingi Sana watu wengi wa wa mijini na vijijini baadhi yao wamekuwa wakiyatumia maji hayo wanapotaka kunywa maji. Ni aina gani ya maji...
5 Reactions
282 Replies
33K Views
Heko kwenu wadau wa JF, Nimekuwa nikisikia mara kadhaa watu wakisema kuwa maji ya baraka yanayotolewa na baadhi ya makanisa huwekwa chumvi ndani yake, je hili ni kweli? Na kama ni kweli kwanini...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Tuitumie vizuri miaka hii miwili 2019 na 2020. Maana 2021 kibano kinarudi. Tutapumzika tena 2024 na 2025
0 Reactions
2 Replies
984 Views
Nimewahi kufuatilia ukamataji na uletwaji mahakamani wa watu mbalimbali na nilichoshuhudia si kila mtuhumiwa anafungwa pingu. Mfano Mh Mbowe na mh Matiko hawafungwi pingu. Mramba na Yona sikuwaona...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Maana ya Jina la Gladness kwenye Bibilia Limo, Pia Naomba kujua Hili Jina kwa kiswahili Linaitwaje? Tusaidiane wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za jumapili wadau? Nimeandika kwa kifupi ili iweze kueleweka, pia naomba usome hadi mwisho ili uweze kuelewa vizuri. Niende moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi kuna rafiki yangu alipanga...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
MKAZI wa Kijiji cha Idete-B, Anna Msangi (26) wilayani Kilombero, mkoani Morogoro anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kuua kwa kumchoma na kitu chenye ncha kali kwenye titi Katarina Mangomile...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa ujumla msimu huu wa mapumziko wa Xmas na mwaka mpya, ajali zimepungua sana barabarani. Mimi ni mmoja wa wadau tunaosafiri kila mwaka toka Dsm hadi mbeya kwa mapumziko kipindi hiki...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
1. What is the Tanzania e-Visa? The Tanzania e-Visa is an electronic authorisation from the Government issued in electronic PDF format. It is the equivalent to a visa. The e-Visa is an entry...
0 Reactions
0 Replies
567 Views
Tatizo Hili linasababishwa na nini na a naweza tatua vipi Maana Hili tatizo limemwanza miezi michache iliyopita na anapoamka anahisi uchovu na maumivu lakini akiwa usingizini haoni anachopigana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Niseme tu kwa sasa hali ya mazingira ni mbaya sana kila kona pametapakaa mifuko ya plastic si mjini si vijijini kila kona mifuko serikali kupitia wizara ya mazingira hebu liangalieni na hili bila...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Abiria walikuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Abood Bus Service leo Januari 6, 2019, wamenusurika kifo ama kupata majeraha baada ya basi kupoteza uelekeo na kwenda kando ya barabara. Kwa...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya wafanya biashara wilayani Simanjiro, mkoani Manyara, linaendelea kwa kutakiwa kutokuwa na wafanya biashara Popo. Mhandisi Tumaini Magesa, kaimu mkuu wa Wilaya...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Habarini wanajamii... Naomba kwa anaefahamu mawasiliano ya kampuni ya Interchick Tanzania.. Zaidi ya email yao na namba ya simu ya TTCL..nimejaribu kutumia mawasiliano hayo hayana majibu... ...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Leo nilikuwa nakashughuli Kariakoo nimebahatika kuchangia hii kampuni yetu Kinachonitisha pale centre Kariakoo unapewa resiti za mashine... Ukipaki njia zakwenda faya ama huku uchochoroni Kanisa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…