Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ikiwa ni miezi karibu kumi toka nilete ombi langu humu jukwaani la kutaka kusaidiwa kujiunga na shule ya sheria Tanzania, na kwa mapenzi ya Mungu likafanikiwa, na nikaleta mrejesho, wachache...
23 Reactions
47 Replies
5K Views
"Mpango wa Serikali ya Mkoa ni kuhakikisha kwamba DSM inakua ni ya usiku na mchana, hautazidi mwezi wa pili kutakua na tamko rasmi la kuhakikisha DSM ni ya usiku na mchana" -RC Makonda Sent using...
5 Reactions
69 Replies
8K Views
Strait to the aim,nna mdogo wangu kamaliza chuo kimoja cha ualimu diploma ya ualimu wa shule za msingi(odpe) mwaka jana mwezi wa nane lakini alihitimu akiwa anadaiwa ada kidogo tu.Sasa mpaka sasa...
0 Reactions
4 Replies
865 Views
Ndugu zangu wapendwa, Nimekuwa na tatizo ambalo limejitokeza na limekuwa likitishia uhai wangu ambapo chanzo chake ni kuunganishwa kwa nafsi yangu na sehemu nyingine ikiwa na maana kuwa Kwa kila...
5 Reactions
85 Replies
11K Views
Kila siku mara tunaweka dawa, mara matope, mara tunasafisha matanki. Kila leo visingizio. Hatuna maji, tunahitaji maji. Hii ikufikie Kitila Mkumbo.... ulikuja toka ACT kumaliza kero za maji, sasa...
0 Reactions
0 Replies
893 Views
Habarini za muda huu comrades, Ilkua siku ngumu sana kwangu leo,, ila mwisho wa siku inaelekea kuisha kwa amani kabisa! The issue was,, wife wangu ni mjamzito na jana alienda clinic kama ilivo...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Clouds Media wametumia vipande vya sauti ya RC Mwanri wa Tabora katika tangazo lao la Fiesta ili kuvuta usikivu na kupata wateja wengi. Kibiashara hili lina maelezo yake na malipo pia kutumia...
3 Reactions
56 Replies
11K Views
Mzuqa Nawauliza tu hawa watatu tena kwa ustaarabu siyo kwa nia mbaya Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji na MTAZAMO wako upande gani kati ya CAG Assad (Mzalendo) ama Spika wa Bunge Job Ndugai. Haitaji...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama bunge linalinda executive na judiciary, judiciary inalinda bunge na executive na executive inalinda bunge na judiciary, then who is protecting mwananchi? My learned brothers and sisters...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Niko hapa kwa suala moja tu kuelezana mambo ambayo si ya kiungwana Miongoni mwetu Naanza na hawa wenye vyeo serikalini Mmekuwa mkilalamikiwa sana na hili kundi la wafanya biashara wauza mkaa wenye...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Benki Kuu ya Tanzania imetoa tangazo kwa umma kupitia tovuti yake (www.bot.go.tz) likiwataka watu na taasisi zote zinazofanya biashara ya huduma ndogo za fedha zilizoko Tanzania Bara (isipokuwa...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
(Summary). Habari wana jamvi leo nazidondosha kwenu nukuu kadhaa za mzee wetu mandela ambazo nimezifanyia uchambuzi kidogo dhidi ya mustakabali wa taifa letu katika upungufu wa democracy Karibuni...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Wajuzi wa sheria tusaidieni hili jambo Siku hizi maeneo ya Dar es Salaam sijajua huko mikoani mkikutwa wawili wa jinsia tofauti maeneo ya viwanja vya michezo, maeneo ya wazi na maeneo ya relini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni na majukumu wapendwa Tukiendelea kulisukuma gurudumua la Taifa mbele hebu tega macho yako uambatane nami tuangalie dhana nzima ya marehemu kusepa na mali zake Natumai mtakuwa ni mashahidi...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
TOZO ya Sh. 100,000/= wanayotozwa kama faini madereva wa bajaji katika Manispaa ya Moshi na wakala wa maegesho ya magari imeibua mjadala mzito. Kutokana na utata huo, madereva hao sasa wamemwomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi Niko nyuma kidogo kimahesabu ila natambua tani1=1000kg maana yake wamesafirisha kilo 2100X8000=1680000 kwa tz,sasa sijajua huko uarabuni wanaenda kuuza kwa bei gani kwa kilo... Hoja yangu ya...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wakubwa wenzangu Kama kichwa Cha habari hapo juu ,nachukua nafasi hi kuwaambia wanajukwa na kushiriakiana kupata jina jina la pesa yetu SHILLING Awali hi jina lilitwa na waingereza kwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mzuqa wanaJF! Hadhi ya Trekta kila muda unavyozidi kwenda inashuka. Yani hizi trekata za kisasa zimekaa kizembezembe na kimayaimayai. Trekta haitakiwi iwe kianasaanasa. Unakuta trekta ina AC na...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Salaam Tz Tunaenda kufunga mwaka lkn pia kuuanza mwaka mpya, miongon mwa vitu tunavyopaswa kutafakari ni afya pia kama ilivyo uchumi binafsi na mambo mengine, kama uko salama 'heri yako' na kama...
22 Reactions
38 Replies
12K Views
Mikoa ya kusini ilifanywa masikini makusudi na chama kikongwe kwa sababu zao binafsi. Miongo mingi wameishi gizani na bila usafiri. Hawakuwa na lami wala usafiri wa uhakika. Kipindi cha utafiti na...
10 Reactions
20 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…