Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
Yote ni kuhusu hizi waist trainer au corset
Japo ni jambo linaloenda na wakati lakini ukweli lina madhara makubwa ndani. Unapofanya kitu isifikirie kuhusu nje tu, fikiria na ndani!
Sio siri kila mwanamke anapenda kuwa na mwili mzuri, shepu ya kihesabu masaa(hourglass shape), lakini unatumia njia gani?
Hii njia ya kuvaa hii mikanda itakupa muonekano mzuri nje lakini ndani uwiii!
Ukweli ni kwamba hii mikanda inapovaliwa inabana tumbo. Lakini kana we ni mtu mnene mwenye maguta mengi ambayo yanakaa kwenye tumbo na kusababisha kitambi haiondoi hayo mafuta bali inayahamisha, kutoka tumboni kushuka chini, kwahiyo inapelekea wewe kuwa na tumbo dogo lakini hips zilizpjazia na makalio kitokana na yale mafuta kuhamishiwa kule chini.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hilo ndo linalowapa shangwe sasa.. Hebu tuhamie ndani.
Fact ni kwamba kule ndani organi zako zinapata mgandamizo na kuvurugika
Organ hizo ni tumbo, mapafu, maini, utumbo mkubwa, utumbo mdogo, kongosho, kizazi na mbavu!
Ni kqamba unapovaa ule mkanda kadri mda unavoenda zile organ za juu zinapanda juu zaidi na zile za chini zinashhka chini zaidi huku vikigandamizwa ndani zaidi. Mbavu zintabanwa hivo kupelekea mapafu kubanwa pia. Matokeo yale ni matatizo katika upumuaji. Ini linatitia na kupoteza shape yake ya asili hivo kuathiri utendaji wake na kama mnavojua kazi ya ini kudili na sumu za mwilini.
Utumbo unabanwa utashuka chini zaidi na kuparaganyika au kuvurugika.. Hali kadhalika unaweza kupata matatizo ya kudumu ya ukosefu wa choo..pia itapelekea kupungua kutokana na utumbo na tumbo kubanwa
Kizazi kitabanwa na ujue ndani ya kizazi kuna organ muhimu kama ovaries. Placenta na utaathiri kuta za uzazi.
Jihurumieni jamani. Yote haya ni ya kufurahisha wanaume huku mnajiua
Jiamini jipende.kama una minyama uzembe dawa ni kupunguza uzito na mafuta mwilini.. Kuna mazoezi ya asili ya kukaza tumbo likawa flat ukivaa nguo unapendeza
Hakuna hakina kibaya alichokiumba Mungu vyote ni vyemaa na tuheshimu kazi yake.
Wachina wanahangaika wee kila siku kubuni vitu mara kurefusha uume, mara, mara kukuza tako, mara kubana kiuno.. Jiulize mbona wao hawachangamkii bidhaa zao. Ingekua hivo basi nusu ya wachina wangekua na mawowowo,wanaume wasingependa vibamia, wanawake wote china wangekua na hourglass shape..lakini wanatimiza ule msemo wa waswahili usemao "ukitaka kufanikiwa, tafuta wajinga"
View attachment 989923View attachment 989924
Sent using Jamii Forums mobile app