Vitambulisho kwa wajasiliamali

Vitambulisho kwa wajasiliamali

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Huu ni mrejesho wa kikao cha viongozi na wananchi hapa nilipo,Kila mjasiliamal anapaswa kuwa na na kitambulisho kwa gharama ya elf ishirini kwa mwaka!!!.Je hii nikwatanzania yote?
 
Kwa ufafanuzi wa viongozi,hakuna raia ambaye ataachwa kwa hili,hii itasaidia kuwabana vijana wazululaji,maana mkulima,mfugaji,muuza uji nk wote watakuwa na vitambulisho,kheri yao watakaotii agizo hili,,,,
 
Chaajab,hoja iliyoonekana kuwa na mshik,eti itasaidia kuondoa watoza ushuru wasio na faida kwa harimashauri.Nini maoni yako?
 
Chaajab,hoja iliyoonekana kuwa na mshiko,eti itasaidia kuondoa watoza ushuru wasio na faida kwa harimashauri.Nini maoni yako?
 
Hivi vitambulisho vya ujasiliamali Kuna mtu atatumbuliwa tu
 
Mkuu Ivunya,hiyo imepitishwa kwa mjibu wa sheria,labda wafanye kama kwenye kikokotoo
 
Back
Top Bottom