Wenye uelewa na haya maswali msaada tafadhali

Truth Teller

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
1,621
Reaction score
2,919
Poleni Wakuu

Naomba niende moja kwa moja kwenye Swali langu!

Endapo ikiwa,ukiyachemsha maji Bila shaka vile vijidudu inasemekana Ufa,!

Swali langu ni hili.

je,endapo maji ukiyagandisha vijidudu navyo ufariki?
Na kama jibu ni ndiyo
je,ina maana hakutakuwa na haja ya kuchemsha maji b'cause ni kupoteza energy na muda kuliko kuyagandisha na kuwaua direct vijidudu.

Kama jibu hapana ni kwa nini havifi kwenye baridi?
Endapo wanyama wanaweza kufa kwenye baridi Kwanini vijidudu visife?

swali langu la mwisho

Ni kwanini barafu linateleza?!?

UPDATE.
Majibu nimeyapata kutokana na michango ya watu hapo chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barafu inateleza kwa sababu ina mtelezo !!!

Vidudu baadhi havifi kwenye maji yakiganda bali vina cease/kuzimia flani hivi.......ila ukichemsha maji lazima vife.

Barafu linateleza kwa sababu lina linatateleza kwa sababu linakuwa linayeyuka ,, kwaio vile vimaji vinavyo tiririka vinakua kama kilainishi

Sent using Jamii Forums mobile app
naomba nimwongezee hapo kwako kuwa barafu likiwa ndani ya freezer huwa linanata na si kuteleza ka likiwa nje ya feeze.kinyume chake nadhani atakuwa kaelewa sana
 
kama wengine walivyo tangulia kuandika narejelea tu. baadhi ya wadudu hasa bakteria huwa hawawezi kufa kwenye baridi ila wanasimamisha shughuli zao tuu na ndo maana hata ukiweka maziwa kwenye maji ukiyatoa nje yakipata joto tuu yanaanza kuchacha/kuganda na kwenye maji/barafu ndivyo hivyo pia
 
Daaa, natamani nijue umri wako na ingewezekana nikuone mubashara mwandishi wa bandiko, maana mh.
 
Picha hapo chini ni graph inayoelezea, ustahimilivu wa bacteria katika Hali mbali mbali za joto

Kuna Aina kuu 4 za bacteria kulingana na ustahimilivu wao katika Hali ya joto (tunapo ongelea joto baridi huingia ndani moja kwa moja)

1.PSYCHROPHILES

Hawa ni bacteria wenye uwezo wa kuishi na kuzaliana kati ya nyuzi joto (-8-20)za celcious
Chini ya joto Hili yaani chini ya hasi nane wadudu hawa hupumbazika, huwa (inactive) hushindwa kuishi na kuzaliana, hawafi ila uwezo wao tuu hupungua kwa kiasi kikubwa
Joto likizidi yaani zaidi ya 20'C wadudu hawa wanakufa (denatured) hukosa kabisa uhai wao kutokana na kiharibiwa kwa ukuta wao wa seli hai (Cell wall)

2.MESOPHILE
Neno meso=katikati
Wadudu hawa Wana uwezo wa kuishi mazingira ya wale wa psychrophiles na wale wa Thermophile ambao ntawaelezea namba 3
Wao Wana uwezo wa kuishi na kuzaliana katika nyuzi joto (10-50)kwa kipimo cha celcious..
Kinyume na hapo yatawapata matatizo kama niliyokwisha Kuyaeleze namba 1

3.THERMOPHILE
Thermo =joto
Hawa wanaenda sana mazingira ya joto kali, ndipo waweze kuzaa na kuishi
Hata uchemshe maji kiasi gani kama hujavuka nyuzi joto wazoweza kistahimili hawafi ila kufa
Joto la mazingira yao ni kati ya(40-75)

4.HYPERTHERMOPHILES
Hili ni kundi la mwisho katika uchambuzi wetu
Neno hayper Thermo =joto kati sana
Hawa hustahimili mazingira hatari sana ya joto kali kiasi kwamba hakuna namna unaweza kuwadhuru kwa joto
Bacteria hawa utawapata kwenye maeneo kama iron furnaces, volcanic cores nk joto leo ni kali sana kati ya 65++++

Nikirudi kqenye swali Lako la kwanini tusigandishe maji badala ya kuchamsha ili kuokoa nishati???

Jibu

Kugandisha kunitumia nishati pia, nishati ya umeme, kama ilivyo kichemsha
Tofauti kidogo ni kuwa kichemsha unaweza kutumia nishati mbadala kama kuni na gesi

KISAYANSI

Pindi ugandishapo maji Wadudu wale hulala tuu, na barafu unapoyeyuka bacteria huamka kama kawa
Hakuna mtu anaweza kunywa barafu akakata kiu...

Chukua mfano nyama ikiwa kwenye friza huwa safi na fresh ila ukiitoa tuu nje baada ya muda huanza kuoza tena!!!! Maji huwa yanachemshwa then yanawekwa kwenye friji

Hata kuchemsha pia tunalenga kuawaua wale bacteria walio na uharibifu katika mwili wa mwanadamuw
Yaani pathogenic bacteria, ambao joto likizidi 75'C wanakufa
So hatuna target ya wale wengine

MWISHO

Kutokana na uchambuzi huu iko bayana kuwa kuchemsha maji ndo njia nzuri ya kuua Wadudu wasababishao magonjwa
Hivyo nishauri watu wachemshe maji
Ila kwa usalama zaidi maji yachujwe na yahifadhiwe sehemu safi, na kama uwezo upo yawekwe kwenye friji
Ili kama Kuna masalia ya bacteria
Wawe inactive

AHSANTE........
Screenshot_2019-01-09-22-52-03.jpeg

AHSANTE........ View attachment 990588

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani Kiongozi.
Ubarikiwe Sanaa

Back
Top Bottom