Kusema wafanyazi wanaichukia NSSF na PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive.
Hawa na shangazi yao SSRA ni...
Nilipofika ofisi za PPF ili kujua taratibu za utoaji mafao kwa waliopoteza ajira, nilikuta kundi kubwa la vijana ambao wote case yao inafanana. Vijana wote hao (mimi nikiwa miongoni mwao) walikuwa...
Tarehe 28/12/2018, Rais alitoa tamko kwamba utaratibu wa zamani wa utoaji mafao ndiyo utumike kwa kipindi cha mpito hadi mwaka 2023. Rais pia alishangazwa na kitendo cha hii mifuko ya jamii kuzuia...
Wengi wetu tumekuwa tukiwanyoshea vidole vya lawama watu kutoka makundi fulani walioathiriwa na uraibu wa matumizi ya vitu mbalimbali kama pombe, sigara, dawa za kulevya, caffeine ya kwenye kahawa...
SERIKALI imesisitiza kuwa haitatoa leseni kwa wachimbaji wa madini wanaofahamika kuwa si waaminifu na wamekuwa wakitumia sababu mbalimbali za kujitungia kukwepa kulipa kodi. Katibu Mkuu wa Wizara...
Tuzo points ni moja ya huduma za kijinga iliyomo kwenye simu yangu.
Natafuta namna ya kujitoa kwenye huu upuuzi.
Anayejua tafadhali anielekeze.
Shukrani.
Nakumbuka wakati wa Vita ya Kagera mwaka 1979 watanzania wake kwa waume walihamasishwa Sana kiasi kwamba hata wananchi ambao walikuwa sio wanajeshi walikwenda mstari wa mbele kupambana na Nduli...
Kama ilivyo sasa tupo kwenye awamu ambapo serikali inasisitza sana juu ya viwanda na uwekezaji mkubwa sana umefanyika na tunaona viwanda Vingi vikijengwa katika mkoa wa Pwani.
Lakini wawekezaji...
HOSPITALI ya Benjamini Mkapa ya Dodoma imesaidia kuipunguzia nchi gharama za kupeleka wagonjwa wa tezi dume nje ya nchi, ambapo kwa miezi minane imetibu wagonjwa 187. Hayo yalisemwa Daktari Bingwa...
Habari wakuu
Mimi ni mhanga wa ajira/kibarua nimetafuta kazi katika makampuni tofauti lakini sijafanikiwa baazi ya makampuni yalihitaji nitoe pesa ili nipate kazi kwa kweli hili swala kwa upande...
*TANZANIE: Nouvelle Fabrication Africaine ou Nouvelle? Une Lettre Ouverte au Nouveau Magazine Africain*
Chers rédacteurs en chef, en tant qu'Afrique de l'est, j'ai lu et compris l'article...
Tanzania ni moja ya nchi ambayo Watumishi was sekta ya umma kwa maana ya utumishi ndani ya Serikali na Taasisi zake mara baada ya kuajiriwa wamekuwa wakipanda vyeo kama formality kila baada ya...
Wengi hili jambo hamlijui tu
Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv
Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen...
Jaribu kutafakari umri wako na ulivyo na imagine unaweza kumkuta na hali gani mwalimu wako aliyekufundisha shule ya msingi, kwa ambao bado hamjakutana nao Trust me Utashangaa kujiona ww ni...
Jeshi la Poliisi Mkoa wa Mwanza kwa kutumia kikosi chake kabambe chenye uweledi uliotukuka tumefanikiwa kuwakamata watu watatu kwa kosa la kupatikana na dawa za kulevya aina ya bhangi kiasi cha...
Biblia inatueleza habari njema za Mungu, na Koroan vile vile. Naomba kuuliza, Ikiwa watumishi wa mungu zama hizi hutumia vitabu hivyo viwili wanapotoa mahubiri au kufundisha habari za Mungu, je...
When I Was Young Nilikua Nawaza Kama Siku Nikiwa Na Mke Halafu Tukawa Na Tatizo Niliamini Yeye lazima Ndio Atakua Chanzo Basi We Can't Seat Together Ili To Confide Our Problems.
Nilikua Naamini...
Sifa za kupata "FAO LA KUJITOA" ni hizi:
Kama kazi yako haikuwa ya kitaaluma na ukafukuzwa kazi, imeelezwa utalipwa mafao kwa mfumo wa "FAO LA KUJITOA" hii ni kwa mujibu wa gazeti la NIPASHE la...
Hizi picha zilizowekwa kwenye hii habari ni za Uwanja wa ndege wa Oman, ambapo ujenzi unategemewa kumalizika Mwishoni mwa mwaka huu, sio Dar es Salaam.
Huu ndio muonekano Halisi wa uwanja wa...
Tuiangalie tanzania kama nchi pia kama taifa ,kwani ipo tofauti kati ya nchi na taifa , Magufuli anajitahidi kuijenga nchi lakini akiumong'onyoa utaifa ,imetupasa kumweleza wazi kama CAG alivyo...