Spika wa Bunge yuko karibu na Ikulu kuliko anavyopaswa kuwa karibu na Ofisi ya CAG.

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Tuiangalie tanzania kama nchi pia kama taifa ,kwani ipo tofauti kati ya nchi na taifa , Magufuli anajitahidi kuijenga nchi lakini akiumong'onyoa utaifa ,imetupasa kumweleza wazi kama CAG alivyo fanya kueleza matatizo ya bunge letu, kwamba anafanya kazi mjema ya kuijenga tanzania pia akumbuke kuulinda utaifa alioukuta.


Utawala wa magufuli unaogopa na pia unabagua ndio maana wahusika wa bunge wamekuwa kama watoto.

Kama spika kaona makosa kwa CAG kwa kusema bunge dhaifu ,kwanini kashindwa kufatilia ripoti zake anazozitoa kila mwaka
DwaJ4TEXQAIsPXi.jpg

Kama huwezi kuhimili changamoto basi hustahili kuwa na mafanikio.

mr mkiki
 
Ni hivi, yule yule anayemtuma Musiba kushambulia watu wanaomkera JPM, ndiye amemtuma Ndugai kushambulia CAG. Kuna nguvu nyuma ya Ndugai, lakini baada ya aliyemtuma kuhisi na kupima joto la jamii dhidi yake, tusishangae Ndugai kuachwa solemba kama Jenister na kikokotoo chake!
 
muhimili wa bunge na mahakama unapaswa ujitegemee kabisa lakini cha ajabu vyote vimeshikwa na ikulu na hakuna hata msomi mmoja anaongelea hili kwa ufasaha, ipo siku tutajutia huu utawala wa jiwe, taifa kwanza, umoja kwanza, tutakukumbuka Nyerere
 
Hata ulivyonipigia simu mh spika kuniuliza niweke kina nani katika kamati nilikwambia chagua wenye weledi-jiwe hana siri tushajua kile kifupi ni remote
 
Back
Top Bottom