Vitabu vya Dini ,Madhehebu Na Mitume wa Mungu

Nanye Go

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
14,379
Reaction score
19,134
Biblia inatueleza habari njema za Mungu, na Koroan vile vile. Naomba kuuliza, Ikiwa watumishi wa mungu zama hizi hutumia vitabu hivyo viwili wanapotoa mahubiri au kufundisha habari za Mungu, je Yesu Na Mtume Muhamad wao walitumia nini kama reference walipokua wakifundisha habari za Mungu. Yani Yesu pia aliitumia Biblia au Biblia ilikuja baadaye? Mtume Muhamad alishushiwa Koran, je yeye kabla hajashushiwa alitumia nini kama reference alipofundisha habari za Allah?
 
YESU (Nabii Issa alyah salaam) alishushiwa Injili.
MUHAMMAD (swalallah alayh wasalaam alishushiwa Qur'an.
habar/ mafundisho almost yote aliyayafundisha YESU yapo ktk QURAN pia
 
Rasulllah mtume MUHAMMAD S.A.W ameyajumuisha yote aliyokuwa anafundisha nabii ISSA aleysalatu wasalam
Yani tunaweza sema ame ya update mafundisho ya nabii ISSA ndo mana kila kitu katika Injili kiko katika Quran

Mafundisho walikuwa wanapata kupitia ndoto au wahyi kupitia malaika mtukufu alafu wanafundisha walio wazunguka haswaa maswahaba(watu walio muone rasulllah swalatu wa salaam)
 
reference ilikua maisha wanayoishi, so kikitokea kisaa ndo inashushwa aya immediately, na mengi walikua wanaambiwa au kuagizwa na Mungu kupitia Malaika Jibreel au Gabriel huyu alikua mwalimu mzuri kwa mitume na alikua anagizwa direct kwa mitume.
so kwa mpaka Quran imekamilika kufikia kwa mtume ndo ilikua inalekea mwisho wakazi yake.ili nasisi sasa tufate namna walivyo ishi na maagizo ya Mungu ambayo yapo kwenye vitabu hivyo.
 
Rasulllah mtume MUHAMMAD S.A.W ameyajumuisha yote aliyokuwa anafundisha nabii ISSA aleysalatu wasalam
Yani tunaweza sema ame ya update mafundisho ya nabii ISSA ndo mana kila kitu katika Injili kiko katika Quran

Mafundisho walikuwa wanapata kupitia ndoto au wahyi kupitia malaika mtukufu alafu wanafundisha walio wazunguka haswaa maswahaba(watu walio muone rasulllah swalatu wa salaam)
Yesu Kristo hakufundisha aliyoshushiwa kwenye ndoto. Haya ni maneno yako mwenyewe. Wala yeye hakuwahi kudai kuwa amepewa Kitabu. Usitake kutudanganya. Maandiko yaliyo katika biblia ni ushuhuda wa waliaombatana nae, yaani wanafunzi wake.
 
na injili????????????? au wanafunzi wali compose injili?
 
kila kitabu na wakati wake na kwa umma maalum, so torati ili isha na watu walifanya edit nyingi so enywe ikapotea so akaja mtume mwingine kwa wakati mwingine nae anakitabu chake kina machache kutoka kwenye torati na mengine mapya yake kwa umma wake, so kuna kupokezana mpaka kufika kitabu cha mwisho
 
Yesu Kristo hakufundisha aliyoshushiwa kwenye ndoto. Haya ni maneno yako mwenyewe. Wala yeye hakuwahi kudai kuwa amepewa Kitabu. Usitake kutudanganya. Maandiko yaliyo katika biblia ni ushuhuda wa waliaombatana nae, yaani wanafunzi wake.
Hili naweza kukubaliana nawe, aliyekuwa anaoteshwa kwa mujibu wa hadithi ni Mtume Muhammad. Yesu hakuoteshwa ila kuna mtu kasema alitumia Torati, lakini inanishangaza mwana wa Mungu kutumia kitabu kumuelezea Mungu. Nilidhani alijua/alifahamu kila kitu kwa uwezo aliokuwa nao bila reference yoyote. Anyway wapo wenye kujua hili naendelea kupokea mawazo tofauti kwa ufahamu wangu zaidi.
 
kila kitabu na wakati wake na kwa umma maalum, so torati ili isha na watu walifanya edit nyingi so enywe ikapotea so akaja mtume mwingine kwa wakati mwingine nae anakitabu chake kina machache kutoka kwenye torati na mengine mapya yake kwa umma wake, so kuna kupokezana mpaka kufika kitabu cha mwisho
Yesu yeye alitumia kitabu pia?! Yani hio Torati ilimjuza Yesu kuhusu Mungu pia au?!
 
yesu aliteremshewa kitabu injili na ndani ya injili kuna few details kutoka kwenye original torati kwakua original enyewe ilipotea na ilipitwa kwa wakati wake.
 
lakini kwa imani zingine hakua mwana wa Mungu, alikua mtume wa Mungu kama mitume mingine, unajua tatizo kubwa hapa yesu alizaliwa bila baba ndo ikaonekana kua hivyo ila watu wamesahau miujiza ya Mungu, Mungu alimuumba Adam na hawa hao wote hawa kua na baba wala mama wameumbwa straight.so kutokua na baba sio kua wewe ni mtoto wa Mungu yesu kazaliwa ki miujiza hapo Mungu kaonesha miujiza yake. hakisema kua inakua yeye alivyo muumba adam alilkua udongo akasema kua Adam haka adam hapo hapo.
 
Back
Top Bottom