mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Ukisikiliza wanasiasa unaweza ukiadhani ndege zetu ni kama maguta.
Onjeni muone bombardier za Magufuli ni shida..
Mandhari ya ndani safi kabisa...
Ikipaa na kutua haina kelele za mabawa kama ndege nyingine za ndani hadi kutia hofu abiria
Ndani ya fastjet unaweza kununua andazi hata usirudishiwe chenji.
Wakati kule uzalendoni wahudumu wasafi wazuri wanakuhudumia juice na korosho buree huku ukipitia magazeti ya siku hiyo waliokugawia.
Rubani anakupa updates za safari wakati wengine kimya kimya utadhani mmo kwenye kombora la North Korea.
Onjeni muone bombardier ni nzuri balaa