Kwa rate za leo Oman Rial 1 = Tshs 6,010.71
Na Oman Rial 1 = Baisa 1,000
Baisa ni kama senti ina thamani ndogo ndio maana watu wa Forex huwa hawazichukui
Sema kitu kingine ambacho nimekiona kwenye hii currency ambacho sijakiona kwenye currency nyingine ni kwamba Main Currency yao ambayo ni 1 Oman Rial ina cents 1,000 Badala ya 100
Ukiangalia Currency nyingi kama sio zote duniani huwa zina cemts 100 tu, nahisi hii itakuwa janja yao ya kufanya currency revaluation. Kwa sababu tunapoitathmini USD 1 dhidi ya Oman Rial 1 Tunalinganisha USD 100 Cents dhidi ya OM Baisa/Cents 1,000 kitu ambacho hakiko sawa (Tulipaswa tulinganishe kati ya Baisa 100 dhidi ya USD Cents 100)
Kwa hivi sasa Baisa 100 = Tshs 601
10 = Tshs 60
1= Tshs 6
Wewe una Baisa ngapi ? Inawezekana una Baisa 5,000 au 10,000