precision air na biashara ya ndege kama daladala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

precision air na biashara ya ndege kama daladala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by YoungCorporate, Jul 19, 2011.

 1. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  precision air wanaudhi kupita maelezo, ati wameoverbook watu yaani tupo airport, flight ya kia - nairobi, wanasema imejaa. Sasa jamani kwanini wanafanya hii biashara kama daladala sasa mtu ulitarajia kufika dar leo inabidi ufike kesho, huu ni ubabaishaji wa hali ya juu. Hw can u allow watu wengi kubook kuliko capacity yenu....agghh
   
 2. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Nchi haina Utawala wa Sheria, Wafanya biashara wanafanya watakavyo wakijua kuwa Serikali haiwezi kusema chochote kama ingekuwa nchi zilizoendelea Hiyo Kampuni ingeshafilisiwa kwa kustakiwa na wateja wanaodai fidia
   
 3. B

  Bwana bonny Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani 540 ya kenya haipo huko?
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huo mchezo hawajaanza leo!mm nilienda airport hapa dar,nkakuta counter imefungwa wakat mda ulikua bado kabisa!baada ya kukomaa nao ndio wakaniambia ukweli,ila siku hz nawah airpoet kichz!ukichelewa inakula kwako.
   
 5. YoungCorporate

  YoungCorporate JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 30, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  halafu hawa wafanyakazi wa precision hapa hawajui cha kufanya wanashangaa shangaa tu ati wanataka kutulaza kwenye lodge hapa jirani ya kia mpaka kesho. Wabongo kwa tamaa ww unajua ndege imejaa kwanini unaendelea kuruhusu watu wakonfirm safari. Nilijua ubabaishaji ni kwa gava tu kumbe huu ugonjwa upo kila kona.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,578
  Likes Received: 5,762
  Trophy Points: 280
  kwanza pole
  lakini sina cha kukusaidia ukiwa member wa hmu ndani maana kila mtu anajua matatizo ya precission wakati 540 iko na bei buree huduma safiiiiiii shida za nini tena waendelee killa siku kujaza
   
 7. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Ndege ya Mramba hiyo, je kuanzia lini umeona mchaga anaacha hela?
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani hawa jamaa wa fly540 sio community airline
   
Loading...