Tanzia: Baba mzazi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali afariki dunia mchana leo Sengerema hospital

makwa

Member
Aug 11, 2016
15
12
Baba mzazi wa mwanasheria mkuu wa serikali,Alderius Kilangi Lubango,amefariki dunia mchana leo katika hospital ya wilaya ya Sengerema.R.I.P Mzee Lubango.niliongea na mtoto wa marehemu ambae ni Advocate Denice Sebugwao,alisema mzee alikuwa anasumbuliwa na presha.
 
Wachawi utawajua tu, hadi msibani badala ya kuomboleza, wanatafuta vijambo ili wakutoge. Sio wote wanaofia Sengerema ni Wasukuma Tanzania ni yetu sote
Lubango ni jina la kawaida sana kwetu Usukumani. Kama haujui kaa kimya. Hao wanaosema hadi AG ni Msukuma wana hoja. Acha kushambulia mtu. Jibu hoja zao. Msiba usiwe kichaka cha kujificha
 
Baba mzazi wa mwanasheria mkuu wa serikali,Alderius Kilangi Lubango,amefariki dunia mchana leo katika hospital ya wilaya ya Sengerema.R.I.P Mzee Lubango.niliongea na mtoto wa marehemu ambae ni Advocate Denice Sebugwao,alisema mzee alikuwa anasumbuliwa na presha.
Tangulia ukapaone huko JIWE na mwanao wanaposhirikiana kupeleka watu kwasababu ya utamu wa madaraka.
 
Back
Top Bottom