Dola ya Rumi itarudi tena

Dola ya Rumi itarudi tena

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,355
Reaction score
16,408
Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi

Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena

Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa zilizotawala dunia

Na Dola hizo ni Babel, waajemi wakishirikiana na wamedi, wayunani, na Warumi.

Sasa maandiko yanatuambia Rumi itarudi tena yaani hii dola ya Rumi ambayo ilikuwa ya mwisho kutawala dunia itarudi tena ikiwa na nguvu zile zile

Cha muhimu cha kujua ni kwamba hii Dola ya Rumi kwa sasa haipo ila itarudi ikiwa na nguvu tena kama zamani za utawala wao kikaisari

Sasa ni vyema kuitazama Italy kwa makini kwa sasa japo inaonekana kiuchumi iko nyuma sana lakini kwa wakati ujao utawala wake utakuwa na nguvu sana

Andiko ni lazima litimie na utawala utakaokuwa hapa kwa wakati huo ni utawala wenye nguvu mno dunia

Na utawala huo utakapokuja utashirikiana na nchi zenye nguvu duniani

Yaani Dola hii ya Rumi itakapokuja itashirikiana na mataifa mengine yenye nguvu Duniani

Cha msingi kwa sasa ni kuitazama Italy kwa makini kwa sasa maana andiko ni lazima litimie hapo kwa siku za mbeleni

Cha muhimu ni kujua dola ya Rumi itarudi tena siku za mbeleni ikiwa na nguvu zile zile ilizokuwa nazo Dola ya Rumi ya kale

Tukumbuke Dola ya Rumi ya mangharibi haikupinduliwa, Bali iliparanganyika yenyewe kutokana na kuwa kulikuwa hakuna vita tena kwa hiyo kila mahali wakajitangazia Uhuru kulingana na maeneo yao, kutokana na kipindi kirefu cha amani ya Dola hilo la Roma ya magharibi

Hivyo ndivyo Dola ya Rumi ya Magharibi ilivyoparanganyika

Sasa Unabii unasema Dola hili la Roma Litarudi tena likiwa na nguvu siku za mbeleni huko

ieleweke hii Dola kwa sasa Haipo
Ila itarejea

Mambo yote ni Italy ya sasa Tuitazame vizuri hii Nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulivyo mweupe kichwani km mvi za lowasa unaonekana hujui tofauti ya Dola ya rumi na Roma/kanisa katoliki.unachanganya as if ni kitu kimoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Koloni za zamani ziliwezekana kwa sababu ya uelewa na mazingira ya wakati huo. Leo karibu kila nchi na jamii kuna wasomi na uzalendo ni mkubwa sana . Rumi tuliyenaye leo ni USA na anaitawala dunia kiuchumi na si vinginevyo .

Sent using Jamii Forums mobile app
USA haitawali dunia na hataweza
Huyu USA atashirikiana na Dola hili LA Rumi litakaporejea kama bado atakuwa na nguvu hizi za kiuchumi alizo nazo leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi

Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena

Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa zilizotawala dunia

Na Dola hizo ni Babel, waajemi wakishirikiana na wamedi, wayunani, na Warumi.

Sasa maandiko yanatuambia Rumi itarudi tena yaani hii dola ya Rumi ambayo ilikuwa ya mwisho kutawala dunia itarudi tena ikiwa na nguvu zile zile

Cha muhimu cha kujua ni kwamba hii Dola ya Rumi kwa sasa haipo ila itarudi ikiwa na nguvu tena kama zamani za utawala wao kikaisari

Sasa ni vyema kuitazama Italy kwa makini kwa sasa japo inaonekana kiuchumi iko nyuma sana lakini kwa wakati ujao utawala wake utakuwa na nguvu sana

Andiko ni lazima litimie na utawala utakaokuwa hapa kwa wakati huo ni utawala wenye nguvu mno dunia

Na utawala huo utakapokuja utashirikiana na nchi zenye nguvu duniani

Yaani Dola hii ya Rumi itakapokuja itashirikiana na mataifa mengine yenye nguvu Duniani

Cha msingi kwa sasa ni kuitazama Italy kwa makini kwa sasa maana andiko ni lazima litimie hapo kwa siku za mbeleni

Cha muhimu ni kujua dola ya Rumi itarudi tena siku za mbeleni ikiwa na nguvu zile zile ilizokuwa nazo Dola ya Rumi ya kale

Tukumbuke Dola ya Rumi ya mangharibi haikupinduliwa, Bali iliparanganyika yenyewe kutokana na kuwa kulikuwa hakuna vita tena kwa hiyo kila mahali wakajitangazia Uhuru kulingana na maeneo yao, kutokana na kipindi kirefu cha amani ya Dola hilo la Roma ya magharibi

Hivyo ndivyo Dola ya Rumi ya Magharibi ilivyoparanganyika

Sasa Unabii unasema Dola hili la Roma Litarudi tena likiwa na nguvu siku za mbeleni huko

ieleweke hii Dola kwa sasa Haipo
Ila itarejea

Mambo yote ni Italy ya sasa Tuitazame vizuri hii Nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoto hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni rahisi persian kusimama tena ila sio rumi labda km upo kiimani zaidi ila kiuhalisia ni ngumu
 
Kuna kitu umekosea Mamlaka yamekabidhiwa kwa PAPA yeye ndiye atakaye tawala dunia.
 
Mtoa mada niko na wewe kiupande flani, nafikiria habari ya urusi kushiriki kumuibgiza trump white house trump kumnyenyekea nk badala ya ubabe naangalia usa kuondoa majeshi east ambacho kitaipa nguvu iran nachelea kusema kuna sintofahamu mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni rahisi persian kusimama tena ila sio rumi labda km upo kiimani zaidi ila kiuhalisia ni ngumu
Nipo kiuhalisia mkuu
Omba Mungu akupe maisha marefu tu utashuhudia kurejea upya kwa dola la Roma likiwa na nguvu kama zamani huku likishirikiana na mataifa yenye nguvu kuitawala dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari ya kwenu napenda niwasalimu wote kwa jina la alieumba Mbingu na Nchi

Kama kichwa cha habari kisemavyo dola ya Rumi itarejea tena

Sote tunajua zilipita Dola kadhaa zenye nguvu kubwa zilizotawala dunia

Na Dola hizo ni Babel, waajemi wakishirikiana na wamedi, wayunani, na Warumi.

Sasa maandiko yanatuambia Rumi itarudi tena yaani hii dola ya Rumi ambayo ilikuwa ya mwisho kutawala dunia itarudi tena ikiwa na nguvu zile zile

Cha muhimu cha kujua ni kwamba hii Dola ya Rumi kwa sasa haipo ila itarudi ikiwa na nguvu tena kama zamani za utawala wao kikaisari

Sasa ni vyema kuitazama Italy kwa makini kwa sasa japo inaonekana kiuchumi iko nyuma sana lakini kwa wakati ujao utawala wake utakuwa na nguvu sana

Andiko ni lazima litimie na utawala utakaokuwa hapa kwa wakati huo ni utawala wenye nguvu mno dunia

Na utawala huo utakapokuja utashirikiana na nchi zenye nguvu duniani

Yaani Dola hii ya Rumi itakapokuja itashirikiana na mataifa mengine yenye nguvu Duniani

Cha msingi kwa sasa ni kuitazama Italy kwa makini kwa sasa maana andiko ni lazima litimie hapo kwa siku za mbeleni

Cha muhimu ni kujua dola ya Rumi itarudi tena siku za mbeleni ikiwa na nguvu zile zile ilizokuwa nazo Dola ya Rumi ya kale

Tukumbuke Dola ya Rumi ya mangharibi haikupinduliwa, Bali iliparanganyika yenyewe kutokana na kuwa kulikuwa hakuna vita tena kwa hiyo kila mahali wakajitangazia Uhuru kulingana na maeneo yao, kutokana na kipindi kirefu cha amani ya Dola hilo la Roma ya magharibi

Hivyo ndivyo Dola ya Rumi ya Magharibi ilivyoparanganyika

Sasa Unabii unasema Dola hili la Roma Litarudi tena likiwa na nguvu siku za mbeleni huko

ieleweke hii Dola kwa sasa Haipo
Ila itarejea

Mambo yote ni Italy ya sasa Tuitazame vizuri hii Nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
Roma empire.... Tangu juzi nilikuwa nasoma history na movie za Roma empire... Wajamaa walikuwa na nguvu Sana... Julius Caesar mark Antony Pompey na Augustus Caesar_first Roma empire ase hawa watu ni shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kinachorudi siyo rumi ya kale ni utawala mwngne utakaonena kutoka ardhi ya rumi.daniel 7;25 na ufunuo 17;1-4 ameweka wazi.ufunuo 17 anesema kisha nikaona mnyama mwekundu mwenye vichwa saba na pembe kumi akitokea baharini na juu yake ameketi mwanamke aliyevaa vazi nyekundu na zambarau.kumbuka
katika unabii
bahari ni nchi
mnyama ni utawala (
falme)
pembe ni tawala pia (mataifa)
vichwa ni milima
mwanamke ni kanisa
kwamaani hyo yohana anamzungumzia mnyama 4 wakutisha wenye pembe kumi aliyetabiriwa na daniel ktk daniel 7 ambayo ni dola ya kirumi.huyu mnyama akatoa mamlaka yake kwa pembe ndogo daniel 7;25.ukiangalia ufunuo 17 anasema tawala iliibuka juu ya nchi na juu ya tawala hyo kuna mwanamke(kanisa) ameketi juu yake.na huyu mwanamke yupo katlkati ya vichwa(milima) 7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom