Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,686
Wasalaam....
Hope wote mko njema.
To the topic
Nimekua nikipita humu kuona thread kadha wa kadha kuhusiana na matumizi ya viumbe hao wasio onekana i.e. Majini katika kutusaidia katika mambo yetu mbali mbali katika swala zima la utafutaji and im like shocked (outta words) kwan ki ukweli katika kufanya tafiti ndogo binafsi nimegundua watu wanao shukiwa kutumia hao viumbe ki uhalisia ukifatilia maisha, nyumba au familia zao zina kasoro flan (a negative drawback)
Ndio kuna wenye mafanikio ya kifedha ila there happens to be a spiritual or physical pain attached to that success in one way or another. They just happen to believe in doing certain negative painful things just to please the devil hence rewarded more success. Unakuta mtu anapesa sanaa ila hafanyi kitu hiki na kitu kile fearing their demise/collapse.
Mimi ni Mkristo na nina amini kabisa uwepo wa Mungu meaning ninaelewa Shetani yupo na ulimwengu wake wa giza na matokeo/ubaya wa kua mfuasi wa ibilisi. Katika vitabu vya dini Mungu ametueleza vyote vilivyoko duniani na mbinguni viko chini yetu na tuna mamlaka navyo including the Angels/Malaika (correct me if I am wrong).
Sasa najiuliza kwann mwanadamu anahangaika na viumbe hao wa giza wakati tumepewa mamlaka ya kuwatumia malaika kwa manufaa yetu only if tukimfwata na kumcha Mungu ??
Je kuna watu hapa duniani wamefanikiwa kuwa na maarifa haya ya kuwatumia malaika wa Mungu kwa mafanikio yao binafsi ??
Kwanini tuhangaike na majini/mapepo na sio kuwatumia malaika wa Mungu kama wasaidizi wetu na sio kwamba tunawaabudu ila ni wasaidizi ??
Why use negative creatures while kuna walio safi tuliopewa mamlaka juu yao ??
Shetani alilaaniwa na Mungu na kwamba milele atakua chini ya mwanadamu, kwann yeye ndio atutawale sisi na kutuahidi material things wakat Mungu alishatupa mamlaka navyo ??
#Karibuni.