Wajameni wote tulikuwa tunaangalia taarifa za habari za runinga ya taifa ya zaire jinsi ilivyokuwa ilianza habari kwa kuonyesha video ya dictator Mobutu akishuka toka mawinguni nadhani kasumba ya utukufu ni ugonjwa wa viongozi wengi wa Kiafrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app