Hakuna dawa inayopandisha nyota kama CELIBACY

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,915
Unajihisi una nuksi na mikosi?

Mambo hayaendi kama unavyo taka?

Umeoga DAWA za kuondoa nuksi na mikosi bila mafanikio?

Basi Leo nakupa bonge la DAWA. DAWA hii inaondoa nuksi,mikosi na kufungua vifungo vya aina zote.

DAWA hii inaitwa CELIBACY.

Tumia Celibacy. Matokeo utaanza kuyaona kuanzia siku ya arobaini.

Endelea kufanya tiba hii mpaka utakapo jiridhisha na kiwango cha mafanikio utakacho kipata then after that unaweza kustop

Fanya tiba hii kila Mara utakapo hisi mambo yanaenda tofauti na unavyo taka wewe
 
Dah
Wadhani kila mtu anaijua hiyo celibacy?
Wadhani kila mtu anajua kuitumia?
Wadhani kila mtu anajua wapi inapatikana?

Vipi ndio ulikuwa unawahi kutoa mkosi ukashindwa kumalizia uzi?
Unajihisi una nuksi na mikosi?

Mambo hayaendi kama unavyo taka?

Umeoga DAWA za kuondoa nuksi na mikosi bila mafanikio?

Basi Leo nakupa bonge la DAWA. DAWA hii inaondoa nuksi,mikosi na kufungua vifungo vya aina zote.

DAWA hii inaitwa CELIBACY.

Tumia Celibacy. Matokeo utaanza kuyaona kuanzia siku ya arobaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaweka namba yako ya simu. Au ngoja nikufuate pm

Unajihisi una nuksi na mikosi?

Mambo hayaendi kama unavyo taka?

Umeoga DAWA za kuondoa nuksi na mikosi bila mafanikio?

Basi Leo nakupa bonge la DAWA. DAWA hii inaondoa nuksi,mikosi na kufungua vifungo vya aina zote.

DAWA hii inaitwa CELIBACY.

Tumia Celibacy. Matokeo utaanza kuyaona kuanzia siku ya arobaini.

Endelea kufanya tiba hii mpaka utakapo jiridhisha na kiwango cha mafanikio utakacho kipata then after that unaweza kustop

Fanya tiba hii kila Mara utakapo hisi mambo yanaenda tofauti na unavyo taka wewe
 
Nakubaliana nawe mia kwa mia, nitakuja na maada ifananayo na hii iitwayo “BLOOD BALANCE”
 
Hahaha nimecheka..yaani umetumia neno la kiingereza makusudi watu wanafikiri dawa inauzwa!
Afadhali umesema wewe bana. Jf is no longer a home of Great Thinkers. Yani wameshindwa hata Ku Google.
 
Back
Top Bottom