Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF,
Tatizo la ajira limehit record high,
Wengi wakiwa graduates,ambao system imewa FAIL,
Kwa kuwafundisha mavitu maguuumu ambayo yako nyuma na kasi ya sayansi na teknolojia
Tufanyeje mpaka 2020?????,
tukiendelea na system iliyopo,bado tutakuwa na watu wengi zaidi wasio na ajira,ifikapo2020,
Leo,nilikua nawaomba tuwe na MKAKATI ,yes MKAKATI,
Kwa batch ya wanafunzi wa sasa hivi,labda hatuwezi kurekebisha tatizo la ajira,ila lakini inatubidi tupange MKAKATI, mpaka ifikapo 2020 tuwe tumelipunguza tatizo kama sio kuondoa kabisaa
Hatuwezi kusubiri Nazi chini ya mwembe,
Namaanisha kama hatujafanya changes kwenye system,tusitegemee vitu vingine positive.
Kwanza kuwe na CHANGE OF SYLLABUS,huko vyuoni,wasome mambo ya current time,kama ni science,then wanafunzi wapewe mazingira halisi tutengeneze wana science wa karne yetu,sio kuwasomesha ma theory gani ya mwaka 47 huko..........LOL
Pia,kilimo,biashara na technology viwe ADDED kwenye syllabus
Kuwe na fungu la serikali ,stimulating money,kuwe na mashindano ya kuandika projects,wale wanaofit wawezeshwe................mtu akiwezeshwa atawawezesha wengine(kuajiri wengine)
Kuwe na warsha/kongamano may be kila weekend,watu wajifunze kilimo/biashara FREE,sio kama wale wezi wa 'motivational speakers,LOL
Mengine mtayajazia wana JF,
Tumsaidie wanzetu kny office