Hao wanaomshauri Rais watimuliwe tu...

Hao wanaomshauri Rais watimuliwe tu...

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Imeonekana threads nyingi za kuishauri serikali, kuhusu jambo lolote...neno ‘ hashauriki’ limekua common,,,,

Sasa kwa nini mpo Ofisini ?

Kuna mtu alishawahi kumshauri Magufuli awafukuze nyie washauri wake wote Magufuli akakataa? 😂😂😊😊🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️

Seriously,huu ujumbe ni kwako Rais,neno hashauriki kila kona ni udhaifu,work on it for your personal development, I know you are self believer which is a good thing but kuongoza mamilioni ya watu ndani ya kichwa kimoja ni ngumu...Relax! Live! Enjoy...

nimejiskia tu kuandika lolote leo
 
Nani atamtoa mr Haambiliki?? Lol
GBWA-20190120105137.jpg
 
Imeonekana threads nyingi za kuishauri serikali, kuhusu jambo lolote...neno ‘ hashauriki’ limekua common,,,,

Sasa kwa nini mpo Ofisini ?

Kuna mtu alishawahi kumshauri Magufuli awafukuze nyie washauri wake wote Magufuli akakataa? 😂😂😊😊🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️

Seriously,huu ujumbe ni kwako Rais,neno hashauriki kila kona ni udhaifu,work on it for your personal development, I know you are self believer which is a good thing but kuongoza mamilioni ya watu ndani ya kichwa kimoja ni ngumu...Relax! Live! Enjoy...

nimejiskia tu kuandika lolote leo

Becky mpaka una muda wa kumuandikia thread huyu mtu aisee una muda hasa!

I will never take my time to write anything about those clowns!

Fools are in charge of this country since 1961!
 
Back
Top Bottom