Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo nimefika ofisi za Nssf shinyanga kupata majibu ya dana dana za njoo kesho, baada ya kusotea mafao yangu kwa muda mrefu kilichotokea ni kwamba wametoa asilimia 33% ya basic salary yako ya...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi katika chuo hiki ambacho baadhi ya Wakufunzi wanajituma sana kuhakikisha tunapata elimu bora juu ya fani ya tiba.Tunawapongeza kwa hili. Hiki chuo kiko chini ya Wizara...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Wale Town Solute, Hii hapa Toyota harrier model 2009 1.Hii tutaaita namba moja yenye Gover ya rangi nyeupe 2.Na hii namba mbili ina Gover ya rangi nyekundu IPI nzuri na yenye muonekano wa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
China kuna Taasisi inayojulikana kwa jina "The Government Property Agency" GPA anayejua kazi mahusus za taasisi hii msaada please!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Habari? Fikiria unafanya kazi mahali fulani, labda unalipwa chini ya 700K kwa mwezi na huna mkataba na hao waajiri japo una zaidi ya mwaka kazini, kitu ambacho si salama sana kwako, na waajiri...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu wadau wa Ughaibuni na Bongo, Ni matumaini yangu mpo salama na mna enjoy spring season hasa kwa wale wenzangu tulio kenye ukanda wa baridi. Nilikuwa napenda kujua kama kuna mwenye this...
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Leo na Jana kuna mvua Rungwe Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Awali ya yote nipende kuwasalimu Nyote kwa jina la yule aliye juu awajalie afya njema Lengo la kuanzisha uzi huu Ni kutafakari akili za hawa watu Mtu mrefu sana kupita kiasi Mfupi kupita kiasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naibu spika wa bunge na mkuu wa taasisi ya Tulia trust ana zidi kufanya shughuli muhimu za kijamii mkoani mbeya... wakazi wa mbeya mmependelewa sana hii fursa msiache iwa pite... wengine wana...
2 Reactions
129 Replies
14K Views
Wasalaam, Katika harakati zangu za kulisaka tonge kwenye kazi zangu hizi za ujenzi nimejikuta nikifanya kazi kama local fundi baada ya Serikali kubadili mifumo yake. Twende katika hoja yenyewe...
2 Reactions
89 Replies
13K Views
Constantine Kanyasu, ametoa wiki mbili kwa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania ( TAWA),- ishughulikie ombi la wanakijiji cha Chunguruma katika Wilaya ya Mafia mkoani Kibaha, la kulipa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Once upon a time, socialite Jack Pemba washed his hands with champagne but not anymore since he is reportedly chocking on debts. He claimed he had deep pockets but he has been in hiding since he...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Kabla ya kuita viongozi kuzindua miradi watu wajiridhishe na maandishi yaliyoandikwa kwenye bango kama ni sahihi au la Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Assalaam Aleiqum wapendwa, Niwe muwazi tu kwamba, miye si mpenzi/mfuasi wa siasa za Rais J.P Magufuli kwani kila mtu anafahamu hali halisi ya kisiasa ilivyo kwa sasa hapa nchini kwetu. Chini ya...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimekumbuka sana miaka ya 80 wakati huo tunatumia sabuni za MBUNI,ILULA,BOBY SOAP,KODRAI.NA MAFUTA YA KUPAKAA YA LADY GUY,YU,SABUNI ZA KUOGEA ZA RUMI KUTOKA KIWANDANI TANGA.HII LEO VIWANDA HIVI...
4 Reactions
105 Replies
29K Views
Bunge letu litunge sheria kabisa timu yoyote ya Tanzania ikienda kucheza nje ya nchi ikafungwa goli tano kupanda juu kuanzia kocha, wachezaji, na wasemaje wawekwe kama dhamana benki ya dunia ili...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri wa Utalii, Dr Kingwangalla, avunja Bodi ya utalii Tanzania (TTB) lakini mwnyekiti wa bodi hiyo iliyovunjwa kabaki kuwa mwenyekiti hasiyekuwa na wajumbe. Ili limenishangaza sana! Kama lipo...
0 Reactions
1 Replies
577 Views
WIZARA ya Nishati ipo kwenye hatua za mwisho za kupata mkandarasi atakayetekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Stiegler's Gorge kwenye maporomoko ya Mto Rufiji Mkoa wa Pwani. Hayo yalibainishwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mungu awasimamie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KUPITIA Mfumo wa Mawasiliano ya Simu (TTMS) Serikali imepata zaidi ya Sh bilioni 93.6 fedha ambazo kama sio mfumo huo zingekuwa kwenye mifuko ya watu. Takwimu hizo zilitolewa Dar ea Salaam jana na...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…