Itungwe sheria timu ikifungwa 5 nje ya nchi iwekwe bond ili tuchukue mkopo benki ya dunia tumalizie SGR

chotera

JF-Expert Member
May 19, 2016
6,305
15,034
Bunge letu litunge sheria kabisa timu yoyote ya Tanzania ikienda kucheza nje ya nchi ikafungwa goli tano kupanda juu kuanzia kocha, wachezaji, na wasemaje wawekwe kama dhamana benki ya dunia ili tumalizie SGR hadi mwanza maana timu nyingine hazina faida kwa taifa letu.
 
Pelekeni hiki kinyesi jukwaa la sports, mbona mnashida sana nyie mibichwa maji, kwani hamjui jukwaa husika?
 
Bunge letu litunge sheria kabisa timu yoyote ya Tanzania ikienda kucheza nje ya nchi ikafungwa goli tano kupanda juu kuanzia kocha, wachezaji, na wasemaje wawekwe kama dhamana benki ya dunia ili tumalizie SGR hadi mwanza maana timu nyingine hazina faida kwa taifa letu.
Yanga kwa kusahau ulifungwa na Raja Casablanca ya Morrocco Goli 6-0 hukutunga Sheria, Ukafungwa Goli 5-0 ,na Klabu ya Misri hukutunga Sheria mkuu watu wanakumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani uwekee bond choo cha shimo? Acha masihara na pesa za watu wewe!!
 
Watu tunaishi kwa kwenda mbele, hata kutembea huwa haturudi kinyume nyume.

Pole sana Chifu.

Kwani unapata tabu sana kufungishwa kapu la magoli kwa timu iliyokuharibia kiwango mechi ya kwanza pale Uwanja wa Taifa?

Si ulijitapa sana ww kuwa "ulienda kufanya tu mazoezi?" au unajisahaulisha kauli zako ulizonena ww mwenyewe kwa kinywa chako?
Yanga kwa kusahau ulifungwa na Raja Casablanca ya Morrocco Goli 6-0 hukutunga Sheria, Ukafungwa Goli 5-0 ,na Klabu ya Misri hukutunga Sheria mkuu watu wanakumbukumbu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii pia
IMG-20190120-WA0000.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom