Ukiona mwanaume anapenda sana mtoto wake ujue alikuwa mpiga puri sana na alikuwa hana uwezo wa kutongoza wanawake ili wa mzalie pia katika mausinao yake yote aliyopitia hakuna mwanamke aliye kuwa...
Elliott Harris, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ukuaji wa uchumi duniani amesema kuwa, ingawa tathmini zinaonesha kuwa, dunia iko katika mkondo wa kushuhudia...
Nafungua page ya kwanza, then naruka page ya tatu then naruka page ya sita, then 12 then nafungua last page. Labda kama ni mada ya moto sana ndo naweza kwenda 1,2,3 4...
Mwenzangu huwa unasomaje..
Katika harakati za kuokoa uchumi wa taifa hili masikini, vijana wa kiume ambao wananguvu za kufanya kazi za uzalishaji mali (Bidhaa na huduma) wapigwe kabisa marufuku kupoteza muda, akili na nguvu...
Basi la Kampuni ya Burdan Tosha ambalo linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Tanga, na Basi la Kampuni ya BM Coach linalofanya safari zake Dar es salaam na Arusha yamepata ajali ya...
Mfanyabiashara maarufu nchini Kenya anayejiusisha na biashara ya madini katika mikoa ya manyara na Arusha pia ni wakili wa kujitegemea, Raymond Nyange ngoo mwenye miaka 37 mkazi wa Moshono Jijini...
Tembo waliovamja mashamba na kula mazao yote, wamewafanya wanakijiji cha Mangae, Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro, kuhofia kukumbwa na baa la njaa.
Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Patrick Joseph...
HOSPITALI ya Rufaa ya KCMC iliyopo mkoani Kilimanjaro imesitisha kutoa huduma kwa wanufaika wa huduma za Afya kutoka kwa baadhi ya taasisi,mashirika na Kampuni za Bima zikiwemo AAR na Jubilee...
Zitto yule kijana aliyekutishia yawezekana ni green card wa chama na wewe unamuita afisa usalama wa taifa.
Ukiitwa ulithibitishe hilo una ushahidi?.
Hebu acha tabia yako hiyo,
Sent using Jamii...
Jamani wakazi wa Morogoro tunachoshwa na uvutaji wa bangi hadharani vyombo vya usalama viko wapi afya zetu zona athirika yaani Moshi wa bangi unajaa majumbani mwetuu watoto wanakohoa daaaah basi...
Haya ya Rose Mhando mimi nayafananisha kama yale ya Michael Jackson, tuongee yote lakini pengine ukweli tutakuja kuujua baada ya Rose kuondoka duniani na watu wengi watajutia sana ni kwanini...
Bodaboda ya mfano iliyofungwa tela iliyotengenezwa na Shirika la Mzinga lililopo chini ya JWTZ kufuatia agizo la Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola aliyetaka bodaboda kufungwa tela ili...
Jana kuna jamaa yangu amekamatwa majira ya SAA 11 jioni wagambo ndio waliokuja kumkata wakisindikizwa na kiongozi wetu Wa mtaa kuwa anahitajika kufika polis jamaa akauliza kosa language ni nini...
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini,Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika,nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na...
Halmashauri ya wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya inakusudia kufanya uchunguzi juu ya madai ya kuwapo kwa wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu licha ya kuwa hawajui kusoma wala...
Wadau nilikuwa nabishana na jamaa flan et kuna nchi ULAYA na AMERCA ambazo hakuna mbu kabisa, tumebishana sana nikaona nilete ubishi huo umu jamvini ili tusaidiane kupeana faida
Sent using Jamii...
Watangazaji wengine wa habari wana motives mbaya, wanataka kukuza ma 'profile' yao, waonekane ulimwenguni na kusaidia kuboost career zao..
Inabidi kuanzia sasa tuwe tunajipanga before..lol…
Mtu...
Mashabiki wengi wa Simba wamejawa hasira baada ya mikeka yao kuchanika kufuatia kipigo cha tano bila wengi walibeti Simba kushinda kwa kuamini Maneno ya Manara kuwa Simba ni sawa na Barca au...
Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Mh. Joachim Wangabo amewashauri wananchi wote wanaoharibu misitu kwa kuchoma moto kwaajili ya kuwinda panya waanze kufuga kuku ili kuweza kuokoa mazingira.
Amesema hayo...
As we all know that about 71% of the land is made up of liquid water, of which, oceans and seas form one of the largest portions of the earth’s surface. There are about 113 seas of different depth...