Kuna maji feki ya Afya yapo mtaani hayana viwango

Ova

Member
Feb 18, 2017
46
125
Nadhani wahusika wa TBS wako humu jamvini,Napenda sana maji ya Afya ila leo asubuhi nilinunua maji kampuni ya Afya katika duka moja tandika,nilianza kuyatilia mashaka kabla sijayanywa kutokana na chupa yenyewe haina ubora ni laini mno tofauti na nilivyozoea.Nilifungua chupa na kuyanywa yana harufu kama ya sabuni na ladha yake sio nzuri na baada ya nusu saa kupita nimeanza kujisikia vibaya,macho na kichwa kinauma naomba wahusika mfuatilie wananchi mtatumaliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,425
2,000
Tandika,mbagala,manzese na kariakoo kuna vitu fake vingi mno na tena usijaribu kununua maji yanayotembezwa na machinga kwenye vikapu.....
 
wa kupuliza

JF-Expert Member
Jun 15, 2012
6,401
2,000
Kiwangooooooo kiwangoooooooooo babuuuuu.....

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ova

Member
Feb 18, 2017
46
125
Weka picha basi tuyaone.
Hayo
1548153534160.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom