Jana kuna jamaa yangu amekamatwa majira ya SAA 11 jioni wagambo ndio waliokuja kumkata wakisindikizwa na kiongozi wetu Wa mtaa kuwa anahitajika kufika polis jamaa akauliza kosa language ni nini mgambo akamjibu utaenda kulijua tukifa huko polis SAA 1 usiku nilipoenda ili kumuombea dhamana nimeambiwa mda umekwisha nije kesho asubuh saa 2
Leo nilipoenda kumuombea dhamana nika ambiwa nisubili bado hajachuliwa maelezo mnaojua sheria naomba mnijuze utaratibu unakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nilipoenda kumuombea dhamana nika ambiwa nisubili bado hajachuliwa maelezo mnaojua sheria naomba mnijuze utaratibu unakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app