Eti kuna nchi ambazo hakuna mbu hapa duniani?

Ni nchi chache sana hasa zile za ukanda wa baridi sana kwenye theluji, kama Iceland. Pamoja na kwamba mbu wanaweza kuonekana nchi za Ulaya ya kusini lakini mbu hao sio wale wenye kueneza malaria na ni wachache mno wala hawasumbui kama huku. Adui mkubwa wa mbu ni baridi. Mbu hawezi kutengeneza joto la mwili kwa jinsi ya wanyama kama mamalia, mbu ni damu baridi ( poiclotherm). Hata Tz mbu hawapo kwa wingi mikoa ya baridi kama Iringa, etc
 
Wadau nilikuwa nabishana na jamaa flan et kuna nchi ULAYA na AMERCA ambazo hakuna mbu kabisa, tumebishana sana nikaona nilete ubishi huo umu jamvini ili tusaidiane kupeana faida

Sent using Jamii Forums mobile app
Kindoki nenda kule kwetu Ivilikinge makete maisha yangu yote nilikua sijawai kumuona mbu, hadi nilivyo safiri mikoa yenye joto

Ndo maana huko kwetu huwezi kusikia ugonjwa wa malaria

Sawa, kumbe MBU awez kuishi kwenye barid kali, iringa,njombe,mafinga,arumeru,Kilimanjaro, ni bahadhi ya maeneo ambayo hakuna MBU, kwa iyo umesimama upande gani? kwamba ni kweli kuna maeneo apa duniani hakuna MBU hususani uko ULAYA & AMERICA?

Kilimanjaro Arusha iondoe kwenye list mbu wapo kama wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nashangaa mnaosema kilimanjalo kuna baridi maana nimekaa moshi hapo ni mwezi Wa 7 tu ndiyo nilikuwa nahisi baridi
Sawa, kumbe MBU awez kuishi kwenye barid kali, iringa,njombe,mafinga,arumeru,Kilimanjaro, ni bahadhi ya maeneo ambayo hakuna MBU, kwa iyo umesimama upande gani? kwamba ni kweli kuna maeneo apa duniani hakuna MBU hususani uko ULAYA & AMERICA?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom